Hoteli ya Golden Crest iliyo katikati ya jiji la Mwanza ni mojawapo ya vikwangua anga vinavyomea kwa kasi katika jiji hilo maarufu kama Rock City. Inafurahisha na kutia moyo kwamba jengo hili linalomilikiwa na PPF limechorwa na wazalendo - Plan Associates chini ya Mkurugenzi wake Mzee Patropa Ndanshau
sehemu ya Bar
Mapokezi
Ghorofa ya kwanza yenye mgahawa na baa
Mgahawani
Kwa nje
Pamenoga....
Mzee Patropa Ndanshau, Mkurugenzi wa Plan Associates, wachoraji wa kikwangua anga hicho akionesha baadhi ya kazi kibao alizofanya.
Hakika wakiwezeshwa wazalendo wanaweza kufanya mambo makubwa!
Hakika wakiwezeshwa wazalendo wanaweza kufanya mambo makubwa!
Good job Mr. Ndanshau. Kweli the building looks amazing. Well planned. Nice, nice!
ReplyDeleteJe parking ya magari ikoje? Nina wasiwasi nayo hasa baada ya kusoma kuwa hoteli ipo katikati ya jiji!!
ReplyDeleteIsije ikawa kama pale Mwanza Hotel, inabidi uka-park mtaa wa pili halafu urudi kwa miguu.
Abiola JR.
Mafia kiduka cha juice.
This flat is hardly 10 storeys, it is not even a sky scratcher, calling it a sky scraper is utterly embarrassing! Michuzi weka post yangu, maana ya kwanza umeweka KAPUNI, ulishasema wewee, huchagui, hubagui atakayekuzika humjui!
ReplyDeleteHongera PPF, ni mfuko makini Na Wa kuaminika zaidi Tanzania Na uwekezaji makini uliofanyiwa utafiti Wa Mina. Go Ppf go!!
ReplyDeletehivi hiyo hoteli pia inaendeshwa na ppf au wao ni wamiliki wa jengo tu?
ReplyDeleteHivi Gold crest inamilikiwa na Watani nini??Asilimia 90 ya wafanyakazi wa hoteli hii wana asili ya huko..Serikali ilinde ajira nyingine kwa wazawa.Nililala hapo hivi karibuni,hadi wafagiaji ni jirani zetu.Lakini ni nzuri sana......
ReplyDeleteDavid V
Wewe uliyeuliza Parking,wana Parking kubwa -Architects sijui wanaitaje parking- ile ya kupandisha gari juu kwenye floors kama nyoka anavyopanda mti ulio wima!(spiral).
ReplyDeleteDavid V
Mdau Abiola, sual la parking limezingatiwa kwani kila floor in parking
ReplyDeleteMdau Gold crest haimilikiwi na watani jua hilo ingawaje wafanyakazi wengi ni kutoka huko sababu unaijua ingawaje hutaki kuamini: Wabongo hawapendi kazi zaidi ya kupiga domo, wizi, uvivu na malalamiko kibao.
ReplyDelete