Home
Unlabelled
kiota kipya cha maraha kwa ajili yako ndani ya jiji la dar,kebby's hotel
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Woooh this is wondfuly, thank Brother Michuzi, twapata dizine humu humu. i like the bathroom, kila kitu to the point.
ReplyDeletenimeipenda hii
ReplyDeletenauliza hivi hicho kama kimeza/stuli kirefu nyuma ya kitanda kinaitwa nini na kazi yake nini ama ni mapambo tu. Aulizae ataka kujua na kufuta ujinga. nisaidieni
ReplyDeletetupatieni na rates za vyumba. thanks
ReplyDeletewee mdau mbona hivi macho hayaoni mbona hicho kimeza kistuli nyuma ya kitanda sijakiona unajua ukisema nyuma ya kitu una maana gani unajua. acha hizo kuponda ponda tu.
ReplyDeletemaanake basi ukichoka unachemka na kimeza kistuli okay
Duh! Mwalimu Nyerere anajigeuza huko kaburini kwake kuona watanzania wanaishi kwa raha hivyo! Hii kali!
ReplyDeleteKaka,
ReplyDeleteMie Vitanda vya hivyo ambavyo godoro liko juu, Tendegu la miguuni halijapanda juu huwaga sivipendagi sana.
Huwa nakosa sehemu ya KUCHOMEKEA MIGUU kwa ajili ya "balance"
Mmenielewa?
Hicho kama kimeza/stuli kirefu nyuma ya kitanda ni kwa ajili ya 'magic moments'. Hata mimi sijui kinaitwaje!!!
ReplyDeleteUwiiii, maraha Duniani,
ReplyDeleteMaisha mafupi lakini matamu!
Hala hala, chonde chonde!
Kama ni outing tutoke na Familia zetu tujikakamue ingawa ni gharama.
Jamani haya maraha ya Kebby's yasije yakatuponza tukazitelekeza Familia zetu Wake ,Waume na Watoto wetu tukahamia Mahotelini na MAHAWARA!