Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akizungumza na Mwasisi wa Chama cha ASP na TANU, Costantine Osward Millinga (91) anayesumbuliwa na maradhi,wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Kijiji cha Mhekela Wilaya ya Mbinga.Katikati ni Mke wa Makamu Mama asha Bilal na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu.
Mke wa Makamu Mama Asha Bilal akimsalimia mwasisi huyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akizungumza na Mwasisi wa Chama cha ASP na TANU, Costantine Osward Millinga (91) anayesumbuliwa na maradhi, wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Kijiji cha Mhekela Wilaya ya Mbinga.Picha na Muhidin Sufiani-OMR.
Si vizuri kutoa taarifa zisizo na ukweli. ASP kilikuwa chama nchini zanzibar na TANU kilikuwa chama nchini Tanganyika.
ReplyDeleteHapakuwepo hata muasisi mmoja wa TANU na ASP, hata marehemu Karume na Nyerere wenyewe walikwa ni waaasisi wa chama kimoja tu, Nyerere alikuwa TANU na Karume alikuwa ASP.