Kulia ni Nasa Kingu Mkuu wa Vpindi wa East Afrika TV/ Radio akiwapokea na kutoa maelezo jinsi wanavyofanya shughuli za habari katika ofisi za East afrika TV/Radi
Kaimu Naibu Mhariri wa The Guardian Bw Wencenslaus Mushi akitoa maelezo kwa Rais wa Airtel Afrika kitengo cha mawasiliano (alieshikilia gazeti) huku Bw Alexander Doll Mkurugenzi mkuu wa Hill+Knowlton Strategies (wapili toka shoto) toka kampuni maalum ya Mahusiano ya Airtel Afrika akifuatilia kwa undani zaidi. Anaefuata ni Mhariri mtendaji wa gazeti la Nipashe Bw Jesse Kwayu pamoja na wadau wa Airtel nchini Tanzania.
Toka shoto ni Raisi wa Airtel Afrika kitengo maalum cha mawasiliano Michael Okwiri akipokelewa na Bi. Joyce Luhanga Mkuu wa Kitengo cha Masoko cha IPP (kati) mara baada ya kuingia katika ofisi kuu za IPP Mikocheni jijini Dar leo. Mwishoni ni kiongozi wa vipindi Radio one na Mtangaza wa ITV Bw, Isack Gamba akiwaongoza pia.
Mhariri mtendaji wa gazeti la Nipashe Bw Jesse Kwayu pamoja na wadau wa Airtel nchini Tanzania
Bw, Isack Gamba ambae ni kiongozi wa vipindi Radio one na Mtangazaji wa ITV akiwaelezea jinsi wanavyofanya vipindi na kushirikisha wasilizaji live katika studio za Radio One Stereo mitaa ya Mikocheni jijini Dar
Watangazaji wa radio... swali ..Mimi sijawahi kuingia studio za kurushia matangazo ya radio lakini huwa nasikia hakutakiwi(chumba cha kutangazia) kuwa na kelele ambazo hazihusiani na kipindi husika,sasa wakiingia wageni kama hao na mic ziko wazi mnafanyaje??Sauti za hao wageni si zitasikika huko mnakorusha matangazo au mnazima mic au mnapiga muziki.. inakuwaje?
ReplyDeleteDavid V
Ahhhh wewe bwana, huwa tunapiga ka-rumba kidogo bwana! Karibu na wewe bwana!
ReplyDeleteGamba