Mashabiki Lukuki wa timu ya Yanga wakiwa wamefurika ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam mchana huu kwa ajili ya kuipa sapoti timu yao inayojitupa uwanjani muda si mrefu kumenyana na timu ya Zamaleck ya Misri kwenye mashindano ya klabu Bingwa Afrika.hivyo Libeneke la Globu ya Jamii leo litakuwa bega kwa bega wa Wadau wote kuhakikisha mnapata kina kinachojiri uwanjani hapa.
Mashabiki wa Timu ya Simba wambao ni watani wa jadi wa Yanga nao ndani,sasa sijui ni hali ua uzalendo au wapo uwanjani hapa kwa kuisapoti timu pinzani?
Shamra Shamra kama kawaida.
Mashabiki wa Yanga wakiingia uwanjani.
Aise asante sana wana blog ya jamii..Msisubiri halftime, tunaomba maendeleo ya mechi hata hapa kwenye comments.Zamalek ndicho kipimo halisi cha Yanga leo.
ReplyDeleteDavid V
Loooh!Timu inavaa nguo za chama cha siasa itacheza mpira,si kudeka tu na misifa kibao.
ReplyDeleteMichu sio Zamaleck ni Zamalek
ReplyDelete