Msikiti wa Manyema, Kilosa
 Baadhi ya akina mama wa kiislamu wa kutoka maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Kilosa, wakizikri nje ya msikiti wa Manyema wa Mjini humo, kabla ya kuanza kwa mkesha wa sherehe ya Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.AW), Kitaifa , Wilayani humo  Mkoa wa Morogoro.
 Mufti wa Tanzania ,Shekhe Issa Bin Shaaban Simba ( kulia) akisalimiana na  waumini wa  Mjini Kilosa,wa Dini ya Kiislamu, Mohammed Mussa Domokaya  mara alipowasili mchana  wa Februari 4, mwaka huu Mjini Kilosa kwa  ajili ya kuhudhuria sherehe ya Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.AW), Kitaifa , ilifanyika Wilayani humo ,

Mkoa wa Morogoro.

 Mufti wa Tanzania ,Shekhe Issa Bin Shaaban Simba ( kulia) akisalimiana na mmoja wa waumini wa Mjini Kilosa mara  alipowasili mchana wa Februari 4, mwaka huu Mjini Kilosa kwa ajili ya kuhudhuria sherehe ya Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.AW), Kitaifa ,

ilifanyika Wilayani Kilosa, Mkoa wa Morogoro..

 Waumini wa wakuime wa kiislamu wakifuatilia mawaidha na nasaha ya Mufti wa Tanzania ,Shekhe Issa Bin Shaaban  kwenye viwanja vya msikiti wa Manyema wa Kilosa  wakati wa mkesha wa sherehe ya Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.AW), Kitaifa, Wilayani humo  Mkoa wa Morogoro.
 Waumini wa dini ya Kiislamu , Swalehe Maulid Msema ( kushoto) akiwa na mwenzake Abduljabar Maulid Msema , ambao ni wakazi wa Jijini Dar es Salaam, wakisoma Koran tukufu  wakati wa mkesha wa sherehe ya Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.AW), Kitaifa ilifanyika Wilayani Kilosa,

Mkoa wa Morogoro.

 Baadhi ya akina mama na watoto wa kiislamu wa kutoka maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Kilosa, wakizikri nje ya msikiti wa Manyema wa Mjini humo, kabla ya kuanza kwa mkesha wa sherehe ya Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.AW), Kitaifa , Wilayani humo  Mkoa wa Morogoro.

Mufti wa Tanzania ,Shekhe Issa Bin Shaaban Simba ( wa pili kutoka kushoto ) akitoa nasaha zake mbele ya waamini wa Dini ya Kiislamu eneo la Msikiti wa Manyema, wa Wilaya Kilosa  wakati wa mkesha wa

sherehe ya Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.AW), Kitaifa Wilayani Kilosa, Mkoa wa Morogoro, (wakwanza kulia) ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera na kati katati ni Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo, ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kilosa. Picha na John Nditi wa Globu ya Jamii, Morogoro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...