Kwa Niaba ya Ahbabi Rasulilah wa Northampton Wellingborough, Wanawaarifu waislam wote katika Maulid ya Mazazi ya Mtume Muhammad (S.A.W).
Yatakayofanyika jumamosi tarehe 11/20/12 kuanzia saa tisa (15.00) mchana katika ukumbi wa

GLAMISS HALL,
43 GOLDSMITH ROAD
WELLINGBOROUGH
NN8 3RU

Wote Mnakaribishwa

Wabilah Tawfiq
Assalaam Aleykum

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. MashaAllah jambo jema hili lazima tutie timu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...