Kushoto ni Pastor Alan DeSilver akiwa na mfanyakazi wa JB Jenkins Funeral Home wakielekeza utaratibu wa kufuata na baadae pastor Alen aliendesha Ibada ya mazishi ya mpendwa wetu Christavina Cryor.
Familia ya marehemu, ndugu, jamaa na marafiki wakifuatilia Ibada ya mazishi ya mpendwa wao.
Watanzania na familia wakijumuika pamoja kumzika mpendwa wao Christavina Cryor katika makaburi ya Gate of Heven yaliyopo Aspen Hill, Maryland Jumatatu Feb 20, 2012.
Ndugu, jamaa na marafiki waliofika kumzika mpendwa wao Christavina Cryor katika makaburi ya Gate of Heven yaliyopo Aspen Hill, Maryland.
Watanzania na ndugu wa marehemu wakiwa kwenye mazishi ya mpendwa wao.
Ndugu, jamaa na marafiki wakiwa kwenye mazishi ya mpendwa wao.
Watanzania ndugu, jamaa na marafiki waliofika kwenye mazishi ya Christavina Cryor yaliyofanyika Jumatatu katika makaburi ya Gate of Heven yaliyopo Aspen Hill, Maryland.
Ndugu, Jamaa na marafiki waliojumuika pamoja kwenye mazishi ya mpendwa wao, Christavina Cryor yaliyofanyika Jumatatu Feb 20, 2012.
Ndugu, jamaa na marafiki wakiwa kwenye mazishi ya mpendwa wao.
Umati wa watu uliofika kumzika mwenzao.
Watanzania, jamaa na marafiki wakiwapa pole wafiwa kwenye mazishi ya Christavina yaliyofanyika Jumatatu Feb 20, 2012.
Poleni sana wafiwa, ndugu na jamaa. Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi. Hivi marehemu alikuwa na undugu na Joyce Kusaga aliyekuwa Tanzania Audit Corp. zamani???
ReplyDeletePoleni sana.
R.I.P Christavina. Tunawaombea Mungu azidi kuwapa faraja na uvumilivu wote waloiguswa na msiba huu. Hongereni sana Watanzania mlioko huko kwa Ushirikiano wenu. Mbarikiwe
ReplyDeleteIt is really sad to the family and friends, poleni sana. May the Lord rest her saul in eternal peace, Amen!
ReplyDeleteNamuona Mobhare Matinyi kwa mbali.
ReplyDeleteRest in Eternal Peace dear Christavina. Amen.
ReplyDelete