Msanii mpya wa Msondo Ngoma Jazz Band  Shabani Lendi akionesha umahiri wake jijini Dar es Salaam leo, baada ya kuingia mkataba wa miaka miwili akitokea bendi ya Sikinde. Aliyesimama  katikati ni Meneja wa bendi hiyo Saidi Kibiliti na kulia ni Kiongozi wa Bendi hiyo Papaa Saidi Mabera
Kiongozi wa bendi ya Msondo, Saidi Mabela (kulia) akimkabidhi Saxaphone msanii mpya wa bendi hiyo Shabani Lendi Dar es Salaam leo, baada ya kuingia mkataba wa miaka miwili akitokea bendi ya Sikinde katikati ni Meneja wa bendi hiyo Saidi Kibiliti.(Picha na www.burudan.blogspot.com)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ulevi noma!! send the right message tothe children

    ReplyDelete
  2. Mtoto akienda kwa Baba yake haihitaji Mkataba mzito ni kiasi cha kutoa taarifa ya Kuaga tu kuwa ninaenda kwa Mzazi nitarudi!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...