Bw. Nehemia Mchechu, Mwenyekiti wa kamati ya mazishi ya marehemu mama Ester Nyimbo Badi mama mzazi wa Bi. Blandina Nyoni, akizungumza katika ibada maalum ya kuaga mwili wa marehemu iliyofanyika leo kwenye kanisa kilutheri la Azani Front jijini Dar es salaam leo.Mwili wa marehemu umesafirishwa kwenda mkoani Iringa na utazikwa katika kijiji cha Ilembula huko Njombe.
Bi. Blandina Nyoni Mtoto wa Marehemu mama Esther Badi akitoa historia ya marehemu wakati wa ibada hiyo leo.
Waziri wa Afya na Ustawi wa jamii Dk. Hadji Mponda kulia akiwa pamoja na Paniel Lyimo katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu wamehudhuria ibada hiyo pia.Picha na John Bukuku wa Full Shangwe.








Pole sana Mama Blandina Mungu akutie nguvu
ReplyDeleteRIP mama Esther Badi, tutakukumbuka daima,poleni sana wana familia.
ReplyDeletepoleni sana wanafamilia kwa msiba huu mzito
ReplyDelete