Jamaa wakiwa wamebeba lumbesa la Luninga chakavu wakizipeleka kuuza kwenyo soko la bidhaa chakavu maeneo ya Mwananyala jijini Dar mchana wa leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mamlaka ya Udhibiti wa Mionzi ya Taifa-Arusha inabidi iunde sera na ichukue hatua dhidi ya bidhaa chakavu zenye kuwa na mabaki ya mionzi kama hizi TV screen, betri za simu na Vifaa chakavu vya Viwandani na Mahospitalini vyenye kutumia mionzi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...