PanAfrican Energy Tanzania Ltd. (PAT) has announced the start of drilling of a new gas production well (“SS-11”) on Songo Songo Island, marking a major milestone in its US$130m investment programme intended to eventually double gas production capacity from the Songo Songo gas field.

The Sakson PR5 rig is the most powerful land rig to currently operate in Tanzania and will be drilling a new well as part of PAT’s push to increase gas production capacity from 113 million standard cubic feet per day to well over 200 million standard cubic feet per day in the coming months. 

With Tanzania’s power needs growing rapidly in line with the country’s economic development, PAT remains committed to playing its part to support the Government’s drive for increased energy supply and security, and to meeting the needs of the Tanzanian people.

“To start the year with the spudding of the Sakson PR5 rig is exciting and reflects the busy year that we have ahead of us. We’re looking forward to continuing to work with our partners to help meet Tanzania’s energy needs as we enter our eleventh year here in Tanzania,” said PAT General Manager, Andrew Brown. PAT is also planning the drilling of a US$35mn offshore well as part of the company’s US$130 million investment programme.

The powerful, 2,000hp Sakson PR-5 rig will drill to a depth of approximately 2,400 metres through the coming ten weeks. Well SS-11 will be the seventh well in the Songo Songo Field, which extends both onshore under Songo Songo Island and offshore to the west of the island in the Kilwa District, 185km south of Dar es Salaam.

PAT has played a key role with other stakeholders in the development of Tanzania’s gas industry since 2001. The company’s Production Sharing Agreement is in partnership with Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) and PAT is the operator of the Songo Songo gas processing plant under contract to Songas. PAT supplies gas primarily for power generation to the Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) and Songas, as well as 38 industrial customers.

The use of natural gas particularly for power generation has made a significant contribution to Tanzania’s economy, which is widely recognized to have saved over US$2 billion in other fuel costs to the country since commercial operations began in 2004.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Pamoja na kuwa jambo zuri, lakini bado halijakuwa na msaada mkubwa kwa taifa na habari za radio mbao ni kwamba gas nyingi (pengine kuliko ile tunayotumia nchini) inavushwa nje kinyemela. Tafadhalini viongozi husika fuatilieni hili nia mchukue hatua zenye manufaa kwa wengi vinginevyo huko tuendako kunaweza kuwaka moto.

    ReplyDelete
  2. Gesi iliyopo inamsaada gani/mbona bado tunategemea umeme wa maji/mafuta?mbona bado tunanunua gesi toka nje?mbona bado mnadai bomba ni dogo?mbona haiunganishwi majumbani?mnapanua uzalishaji ili muipeleke wapi?hivi kwanini mnatuchezea sana watanzania?jamani ukiwaka moto mjue hautozimika!watu wanahasira zimelaliana kwa mambo mengi siku pakipatikana pakuzitolea mjue itachukua miaka kuirudisha nchi kwenye mstari tena.haya tuchezeeni tu

    ReplyDelete
  3. hivi serikali au watanzania wana shares kwenye hizi kampuni au mambo ni yale yale ya watanzania kutofaidi.

    ReplyDelete
  4. mbona,mbona,mbona yaani mbonaaa sina kitu

    ReplyDelete
  5. Najitahidi kuamini mipango hii ni kwamanufaa ya taifa, maanataifa kama Russia wanakiburi na maendeleo sababu ya hazina ya nishati waliyonayo, naomba serekali yetu ilione hili, naamini tutafika tu, Mungu ibariki Tanzania

    ReplyDelete
  6. Miradi chungu nzima!

    Faida sifuri, hivi haya mambo mpaka lini?

    Je, ni mpaka lini Tanzania na Mtazania atakuwa Shamba la Bibi?

    TATIZO KUBWA LIPO HAPA:

    1.MIRADI MINGI INAENDESHWA KINYEMELA KITU KINACHO WEKA MAZINGIRA YA KUTOKUWA NA UWAZI KTK UENDESHAJI.

    2.MIKATABA INASAINIWA NA KUNDI LA WACHACHE MFANO NCHI INA WATU 45,000,000 WANAOPITIA VIPENGELE VYA MKATABA NA KUSAINI NI WATU WASIOZIDI 45 TU!.

    3.HAKUNA USHIRIKISHWAJI WA WANANCHI WA KAWAIDA KATIKA UMILIKI WA HISA ZA MIRADI KAMA HII NA MAKAMPUNI YENYE TIJA!.

    ETI WASIMAMIZI WANADAI OHHH HATUJA MITAJI YA KUNDESHA NDIO MAANA INABIDI TUTOE % KUBWA YA FAIDA KWA WAWEKEZAJI, HII NI AKILI KWELI?

    HAPO HAPO TUNA MAAZIMIO NA MIKAKATI KIBAO YA KUONDOA UMASIKINI!

    ReplyDelete
  7. Mbona bado bei juu!

    ReplyDelete
  8. kwanini wasituajiri sisi watanzania kufanya kazi hapo ujuzi tunao hatuajiriwi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...