Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili Lancaster House jijini London leo February 23, 2012 kijiunga na viongozi wa nchi mbalimbali katika mkutano wa kujadili mstakabali wa nchi ya Somalia ambayo imekuwa katika misukosuko kwa zaidi ya miaka 20 ambapo jumuiya ya kimatifa ikiongozwa na Uingereza imepania kumaliza matatizo mbalimbali katika nchi hiyo ikiwemo kutokuwa na serikali inayoeleweka, uharamia, ugaidi pamoja na kujaribu kurudisha amani.PICHA NA IKULU.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hao wasomali wenyewa wapo hapo kikaoni kusikiliza mambo yao ya ajabu wanayowafanyia mataifa ya wenzao?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...