SERENGETI FREIGHT FORWARDERS
WAZEE WA KAZI 
LETE MZIGO WAKO TUTAUFIKISHA MPAKA SEBULENI KWAKO DAR! £2.20 KWA KILO HULIPI USHURU HII NI PAMOJA
KUTUMA DOCUMENTS BY DHL £25 
WE CAN NOW SHIP CONTAINER FROM
 ALL OVER EUROPE TO EAST AFRICA. 
FROM  ANYWHERE IN CHINA TO EAST AFRICA
FROM HONGKONG TO EAST AFRICA

PIA KAMA UNATAKA KUNUNUA MAGARI AU MASHINE ZOZOTE HAPA UK SIE TUNAWEZA KUKUSAIDIA KUNUNUA NA KUKUSAFIRISHIA MPAKA NYUMBANI
NUNUA GARI KWA DEALER YOYOTE UK TUTALIFUATA, TUTALIKAGUA NA KULISAFIRISHA MPAKA NYUMBANI
FROM TILBURY 
NEXT VESSEL SAILS 25/03/2012 CUT OFF 20/03/2012
FROM SHEERNESS
NEXT VESSEL SAILS ON 20/03/2012 CUT OFF 16/03/2012
FROM IMMINGHAM
NEXT VESSEL SAIL ON 02/03/2012 CUT OFF 28/02/2012
kama unataka kuagiza kitu au kufanya booking yoyote tutumie email au tupigie kwenye namba zifuatazo;

CHRIS LUKOSI             +44 07903828119 begin_of_the_skype_highlighting            +44 07903828119      end_of_the_skype_highlighting        & 07404279633 
SIMON LOUIS (MOHSIN)             +44 07950689243 begin_of_the_skype_highlighting            +44 07950689243      end_of_the_skype_highlighting      
HASSAN (RICHARD)             +44 07405159255 begin_of_the_skype_highlighting            +44 07405159255      end_of_the_skype_highlighting      
HQ -  UNIT 92 THAMES INDUSTRIAL PARK, PRINCESS MARGARET ROAD, EAST TILBURY, RM18 8RHRH
Tell             (+44) 01375 855917 begin_of_the_skype_highlighting            (+44) 01375 855917      end_of_the_skype_highlighting        Fax (+44) 01708202477

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. BAAB KUBWA WAZEE WA KAZI MWAKA MMOJA TU NA SASA MNASHIP KUTOKEA EUROPE NA CHINA! kweli nimewakubali manake naona sasa wale jamaa zetu waliokuwa wanasema nguvu ya soda itabidi waje kwenu kupata mafunzo ya kazi.
    Mie naomba mnipe idea yoyote ili nijikwamue na mie nianzishe ka biashara kangu hapa dodomahn

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...