Pichani shoto ni Bi Maryam Shamo ambaye ni Mratibu Miradi wa UWF, akizungumza kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM kuhusu mchakato wa kumtafuta mwanamke mjasiliamali ambaye amejaribu kufuata nyayo za Mwanamakuka, ila kutokana na changamoto mbalimbali zinazomkabili amekwama kufikia malengo yake kupitia mradi wa Mwanamakuka chini ya chama kisicho cha kiserikali UWF (United of women friends) wameamua kumuwezesha mwanamke mjasiliamali ili kufikia malengo yake,kilele cha ukabidhiwaji wa tuzo hiyo ya Mwanamakuka itafanyika siku ya Wanawake Duniani,Machi 8 ,katika ukumbi wa Serena hotel zamani Movenpick,kulia kwake ni bi Jane Magembe ambaye ni Mratibu Msaidizi wa UWF.
Waratibu wa UWF wakiwa kwenye kipindi cha Leo tena mapema leo kuhusiana na tuzo ya Mwanamakuka,itakayotolewa kwenye hafla ya Siku ya Wanawake Duniani,itakayofanyika Machi 8 ndani ya Serena Hotel jijini Dar,kulia ni mwongozaji wa kipindi hicho Dina Marious.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...