Mtandao wa Vodacom Tanzania umeongeza offer kwa siku saba (7) zingine tena za kuendelea kunufaika na promosheni ya kutuma SMS kwa Tsh 25 siku nzima kwenda mitandao yote nchini,Na Ongea kwa ROBO SHILINGI kwa sekunde Voda kwa Voda saa 4 usiku hadi 1 asubuhi,Tafadhal Piga*100#ujiunge.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...