Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina iko katika hatari ya kuvunjwa kwa vile imejengwa kwenye eneo la akiba la barabara. Picha Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akionyeshwa na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Ally Nasoro Rufunga alama inayoonyesha sehemu ya ukuta wa ofisi hiyo unatakiwa kuvunjwa. Nyumba hiyo imejengwa kwenye kijiji cha Mwandoya wilayani Meatu. 

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Afisa Biashara wa Wilaya ya Bariadi, Leonard Batigashaga akiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga Febeuari 22, 2012. Kulia ni Mkewe Tunu.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akialimana na Wananchi wa na viongozi wa wilaya ya Meatu baada ya kuwasili katika kijiji cha Mwandoya akiwa katika ziara ya Mkoa wa Shinyanga Februari 22, 2012. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Ally Nasoro Rufunga na wapili kushotoni Mkuu wa Wilaya ya Meatu Abihudi Saideya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Watu wengine Bana wanatia kichefuchefu, PM yuko ziara ya kiserikali lakini wewe unang'ang'ania magamba. Huna nguo nyingine au UNAFIKI tu, Tuelimike wajameni.

    ReplyDelete
  2. sheria ni msumeno. kama wamejenga kwenye eneo halihitajiki wavunjiwe kubwa ni lipi??

    ReplyDelete
  3. Kazi hizi zinahitaji kuwekewa mkakati wa kuwasaidia wahusika kuweka cv zao vizuri na kuwapa mbinu za kujibu maswali kwenye mahojiano. Na pia kusoma kwa makini mambo muhimu yanayohusiana na mtangaza nafasi muundo wa taasisi, program, wanachama ni kina nai nk.na majukumu yaliyoainishwa kwa kazi anayoomba mhusika.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...