Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiongoza matembezi ya mshikamano ya kuadhimisha mika 35 ya CCM yaliyofanyika kimkoa katika kijiji cha Ifwagi wilayani Mufindi, Iringa Februari 5, 2012. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Iringa, Deo Sanga.
Wasanii wa Mufindi wakitumbuiza katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenye kijiji cha Ifwagi wilayani Mufindi ambako Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alikuwa Mgeni rasmi katika maadimisho ya miaka 35 ya CCM yaliyofanyika kimkoa Februari 5, 2012.
Wasanii wa Mufindi wakitumbuiza wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipohutubia mkutano wa hadhara katika maadhimisho ya miaka 35 ya CCM yaliyofanyika kimkoa kwenye kijiji cha Ifwagi wilayani Mufindi, Iringa, Februari 5, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...