Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Korea Nchini, Bw. Young- Hoon Kim kabla ya mazungumzo yao Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Korea Nchini, Bw. Young - Hoon Kim, Ofisini kwake jijini Dar es salaam leo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Korea kaskazini au Kusini?

    ReplyDelete
  2. Mizengo Pinda Pinda, au sio? Nimeipenda hii!!

    ReplyDelete
  3. Hapa ulimwenguni Kuna Korea ya kaskazini (Pyongyang) na ile ya Kusini (Seoul).
    Jee, huyu balozi ni korea ipi kati ya hizo mbili?

    ReplyDelete
  4. Pinda kumbuka ki-protokali huwezi kumpa mtu mkono huku unaangalia upande mwingine (au humtazami machoni) inatafsiri ya dharau. Ni tatizo ambalo nimeli-note kwa Pinda mara nyingi. Wasaidizi wako wanapaswa kuku-train.

    ReplyDelete
  5. Jamhuri ya Korea= Republic of Koera (ROK)= Korea ya Kusini.

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea= Democratic People's Republic of Korea (DPRK) = Korea ya Kaskazini.

    Kabla ya kufungua mdomo, acheni uvivu na tumiya google. majibu sekunde mbili.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...