Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano,Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti wa Tume ya Pamoja ya Fedha,Bw. William Shellukindo wakati alipokwenda kumueleza Tume ilipofikia katika Kazi Zake,leo Ofisini kwa Waziri Mtaa wa Luthuli Mjini Dar es Salaam.[Picha na Ali Meja]

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Uwezo wa Uongozi unategemeana sana na umri!

    Kisayansi, kadiri umri unavyokwenda uwezo wa kufikiri na kumbukumbu zinashuka.

    Sasa sioni sababu za keendelea kuwaenzi Wazee katika Idara nyeti kwa vile muda wa kupeana nafasi kwa Shukurani na Takrima umekwisha.

    Ingefaa zaidi hawa Wazee wakachanganywa na Vijana ili kuacha Urithi wa Ujuzi na Uzoefu badala ya Wazee kuwa kama HIRIZI au MIBUYU YA TAMBIKO MAOFISINI , huku hatimaye wanakufa na kuzikwa na HAZINA YA UJUZI WAO!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...