Balozi wa Tanzania nchini Urusi, Mhe. Dr. Jaka Mwambi (kushoto), akiangalia zoezi la upigaji kura wa Rais wa Urusi unavyoendelea katika moja ya vituo vya kupigia kura nje kidogo ya jiji la Moscow.
Mabalozi na maofisa kutoka Ofisi za Balozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao Moscow wakiwa mbele ya kisanduku cha kupigia kura.
Balozi wa Tanzania nchini Urusi, Mhe. Dr. Jaka Mwambi (pili kulia),  akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa wapiga kura kuhusu zoezi zima la upigaji kuwa ulivyokuwa ukiendelea.
Bango la Uchaguzi linalosomeka "Uchaguzi wa Rais Russia"

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Uchaguzi wa Urusi 2012 mchakato wake ni kama Chaguzi za Afrika!

    Putin amepanga Matokeo hakuna lolote,,,lakini hata Hivyo ni sawa ili awarekebishe Marekani na Israel juu ya Nyuklia!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...