Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo Dkt Emmanuel Nchimi akibapa maelezo toka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya upigaji picha Bw G.Makupa alipotembelea banda la GRM Production wakati alipotembelea Maonesho ya Harusi Trade Fair katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam. Nyuma yao ni mwandaaji wa maonesho hayo na gwiji wa ubunifu wa mavazi nchini Mustafa Hassanali
Home
Unlabelled
Dkt Emmanuel Nchimbi atembelea maonesho ya Harusi Trade Fair leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
safi sana kijana
ReplyDeletehapo naona kalenga miguu ya dada huyo
ReplyDelete