Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(wa nne kushoto) akijumuika na waislamu wengine katika kumswalia Marehemu Mama Mzazi wa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Yakuti Hassan Yakuti,(wa pili kushoto) swala hiyo iliyoongozwa na Naibu kadhi Mkuu wa Zanzibar,Sheikh Hassan Othman Ngwali,katika Msikiti wa Ijumaa wa Melitano Fuoni Wilaya ya Magharibi Unguja leo.Picha na Ramadhan Othman IKULU.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. "INNA LILLAH WAINNA ILAYHI RAJIUN" Kwa hakika yake Mwenyeez Mungu, na hakika yetu sie waja wake, basi kwake TUTAREJEA. Mwenyeez Mungu amughufirie kwa yote na amlaze pahala pema PEPONI. AMINA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...