Mkuu wa Majesh ya ulinzi na usalama Nchini Davis Mwamunyange akitoa Mada jana katika Mkutano Mkuu wa Maafisa wakuu wa Jeshi la Polisi unaoendelea katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi, Mkoani Kilimanjaro.
Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama Nchini Davis Mwamunyange akizungumza na Maafisa wakuu wa Jeshi la Polisi jana baada ya kutoa mada katika mkutano wa maafisa hao unaoendelea katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi, Mkoani Kilimanjaro. Kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi Said Mwema.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Said A. Mwema akifafanua jambo jana katika Mkutano Mkuu wa Maafisa wakuu wa Jeshi la Polisi unaoendelea katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi, Mkoani Kilimanjaro.
Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama Nchini Davis Mwamunyange akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi jana baada ya kutoa mada katika mkutano wa maafisa hao unaoendelea katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi, Mkoani Kilimanjaro. Picha na wadau Hassan Mndeme na Frank Geofray wa Jeshi la Polisi
Nimefurahi kuona kompyuta hapo mezani. Mnaitumia. Mngeitumia hata watekao magari na kupora simu za abiria mngewakamata kwa teknolojia ya mtandao au labda ni askari wenzenu?
ReplyDelete