Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua chanzo cha maji katika mradi wa umwagiliaji maji katika kijiji cha Msoga,wilayani Bagamoyo, mkoa wa Pwani leo mchana.Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Pwani Bi.Mwantumu Mahiza na kushoto ni mwenyekiti wa kijiji cha Msoga Bwana Herman Katoto Semindu.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mkulima Selemani Ramadhani katika shamba la kijiji lililopo katika mradi wa umwagiliaji katika kijiji cha Msoga kilichopo wilayani Bagamoyo leo asubuhi wakati alipotembelea kukagua maendeleo ya mradi.Jumla ya hekta mia nne zimetengwa kwa ajili ya mradi huo. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mambo ya Kilimanjaro Climb naona kofia hiyo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...