Kwa muda wowote, wakati wowote  kwa raha na nafasi yako ni Kebby's hotel iliopo New Bagamoyo Road,maeneo ya Bamaga. 
Tel: +255 22 2774094

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Taaamuuuuuu!

    Duhhh hiyo chakula ktk sahani nilikuwa nimesha jishindilia Chai, Muhogo wa kuchemsha na Maharage yangu ya ngama hesabu niuwe winga hadi Usiku nikirudi Nyumbani,,,lakini sahani hii Lohhh kama mchwa wameingia tumboni kwangu na sasa Uchu umenishika NJAA INANIUMA!

    Jamani wenye pesa Bongo hii wanafaidi, halafu watu wapo huko Majuu Ohhh Bongo Maisha magumu EBO!

    ReplyDelete
  2. mhh mi sipendi kuchanganya chakula cha moto na matunda!!!! kwangu mi naona tunda linakuwa la moto linakosa utamu

    ReplyDelete
  3. Kwangu mimi huo haujawa msosi uliokamilika bado! Mimi kwangu hiyo ni kama appetizer tu, nikisha tafuna hiyo baada ya dakika 10 natakiwa nipate chakula sasa!!!

    Hiyo unatafuna kutoa uchu tu(bitings).

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...