NAOMBA NICHUKUE FURSA HII TENA KUWASHUKURU WANAWAKE WOOOTE MLIOJITOKEZA NA KUITIKIA WITO WA KUJA KATIKA WOMEN CELEBRATION KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI, NASHUKURU SAANA WAHESHIMIWA WALIOKUJA KUNIUNGA MKONO AKIWEPO MHESHIMIWA UMMY MWALIMU NAIBU WAZIRI WA JINSIA ,WANAWAKE NA WATOTO ,PAMOJA NA MHESHIMIWA MBUNGE WA VIJA NA ARUSHA CATHERINE MAGIGE,KIWOHEDE VIKUNDI MBALIMBALI VILIVYOJITOKEZA,MASHIRIKA NA MAKAMPUNI YA WATU BINAFSI PAMOJA NA WAJASIRIAMALI NA MASHOST.
PIA NAWASHUKURU CLOUDS FM,KASSO ENTERTAINMENT,BAILEYS,KONAD NA I VIEW MEDIA
KUMRADHI
NA POLENI KWA MAPUNGUFU YALIYOJITOKEZA YAKIWEMO UPUNGUFU WA VITI (ambapo ulitokana na hotel kuwa na upangaji wao wa kuacha nafasi nasi tulifikiri vingine hatukujua tutapata watu wengi (xoxo) NA WENGI WENU KUTOKUJUA KAMA HAKUTAKUWA NA MSOSI, NA JOTO LILILOKUWEPO KUTOKANA NA MAFENI KUTOKUFANYA KAZI,PARKING KUKOSEKANA NK
NAKIRI KUNA MAPUNGUFU MEENGI YALIYOJITOKEZA
(bado naendelea kukusanya maoni na ushauri so nitumie kwenye comment hata kwa email shamyomy@yahoo.com, SIMU 0784 418941 )
NAKIRI HAYO NI MAPUNGUFU NA NINAYACHUKULIA KAMA CHANGAMOTO NA NINAAHIDI HAYATOJIRUDIA TENA KWANI MIE NI MCHANGA KATIKA KIPANDE HIKI NA NINAJIFUNZA NA BADO NATAENDELEA KUJIFUNZA .



afadhali sikuja maana mbona aibu tupu!!
ReplyDeleteKama unakiri kwamba wewe ni mchanga na unaendelea kujifunza katika shughuli hizi za EVENTS MANAGEMENT AND ORGANISATION, iweje useme kwamba mapungufu hayo hayatajitokeza tena?
ReplyDeleteMara nyingi kwenye maandalizi ya shughuli watu huwa mnaangalia zaidi mapato (pesa) na kusahau kabisa LOGISTICS! Iweje isiwekwe wazi kwamba hakutakuwa na chakula? Anyway, ndio Bongo hiyo...Watu wanajikusanyia mkwanja wanaondoka. Wajinga ndio waliwao!
siku zingine fanyeni shughuli kwenye sehemu isiyo very expensive ili mambo yawe mwaaaaa
ReplyDeletehii ilikuwa bomu sana full stop
Hongera sana mpendwa, wewe ni wa kuigwa. Kwanza umeomba msamaha kwa mapungufu, pia umesema utayafanyia kazi. Pia yaonekana hukutegemea watu wengi, lakini Mungu amekuwa upande wako. Ni shughuli yako ya kwanza na watu wamejitokeza wengi. Unaonekana pia unapenda kujifunza kutokana na makosa. mimi sikuwepo lakini kwa maelezo yako nakuona ni mtu mstaarabu sana. Ninaamini utayafanyia kazi mapungufu yote ili next time mambo yawe mazuri zaidi. Unyenyekevu wako utakuweka pazuri, usijali maneno ya wadau waliopita. Hawajazoea kukutana na watu wastaarabu kama wewe!
ReplyDeleteKwani bibie ulikua na unenge?!
ReplyDeleteWatanzania wanakuonea wivu sasa wamepata cha kusema. lakini usikate tamaa. Kuna mengi yanachangia.
ReplyDeleteShamimu nakufahamu toka tunasoma forest kwa patel morogoro u never give up and ua not a loose,so hata siku moja hakuna aliye mkamilifu.umekiri kosa move foward dnt look back.keep on walking like jonny walking..all the best.
ReplyDeletehongera sana Shamim mi nakupenda sana na kukubali kwa juhudi zako mdada sijui ilikuwaje ukaenda kutuweka pale SERENA mamy while mwanzoni ile ya 5th annivesary nilikuja nilienjoy sana mpk nikaahid chochote uandaacho sitaacha kuja ni bora ungentuweka hata uwanjani leaders ila tupate ile roho inapenda kwa kwl this tym hukututendea haki ila umeonesha uungwana kwa kuomba radhi waungwana tumeelewa otherwise songa mbele tuko pamoja nawe
ReplyDeletedada wewe ni mstaarabu sana, sikufahamu wala sijawahi kukusikia, lakini kwa kusoma tu nimegundua wewe ni mstaarabu. Watu wengi wanakosea hakuna anayejua kila kitu, lakini huwa wagumu kukiri! Big Up sissy! Next time utafanya mambo mazuri zaidi.
ReplyDelete...very rare people to apologize publicly even on visible and unscrupulous mistakes. You have done a courageous thing, congratulations. My advice is that Learn from your mistakes, plan for the better and come up again, BUT NEVER GIVE UP.
ReplyDeleteni bora ulivyoomba radhi usichukue sehemu za hali sana kwani kuaford ni ngumu big up
ReplyDeletejamani mpeni shamim hongera zake NANI alishawahi kuandaa event kama ile wamama wamejaa wa kila aina kuanzia wakawaida mpaka masuper star uchwara wa bongo wamekalia showoff tu waulize wana nini kazi kukashfu tu
ReplyDeleteBinafsi zeze nimekuvulia kofia tuanaendaga kwenye event nyingine nusu viti wazi ILA WEWE UNAKIPAJI MDOGO WANGU CHA KUHAMASISHA SIKUIMAGNE KANGA INGEKUWA TAMU VILE WAMAMA WAMEPENDEZA ILA ,KUNA MMOJA ALIPANIA NA KUWAKICHEKESHO KILA SAA ANAPANDISHA NGUO NA KUJIONA KAFUNIKA,UKICHEKESHA OTHERWISE WENGINE WALINOGA.
JAMANI YALIYOJITOKEZA YACHUKULIWE KAMA CHALLANGE WATU WAMELALAMIKA OOH JOTO ZEZE WA WATU ANAHUSIKAJE OOH HAKUNA CHAKULA WAENDA OUT KWELI 25000 YETU INGETOSHA NINI PALE WAKATI MAJI NI 3000 OOH HAKUNA VITI WANAOFANYA ARRANGEMENT NI WENYE VENUE WAO NDIO WALIMUANGUSHA ZEZE AMEWALIPA UKUMBI MWAJUA PRICE ZA PALE KUBWA TUNALOTAKIWA NI KUMSHAURI HUYU MDADA CHA KUFANYA NEXT EVENT
LET SAY TUNATAKA DINNER & DANCE
VENUE YENYE KURUHUSU MSOSI
TUWE NA WATAALAMU WA UJASILIAMALI WA KUTOKA UDSM
UTUTAFUTIE WAMAMA WALIOFANIKIWA KIBIASHARA WATUELEZE WALIANZIA WAPI NA WALIPOFIKIA
UWE NA WATU WA KUKUSAIDIA HUWEZI FANYA KILA KITU WATU WA KUELEKEZA PALE KWENYE RED CARPET NA KWENYE INTERVIEW TAFUTA MTU MTAALAM
WEKA ENTERMENT YA KUTOSHA WAMAMA WACHEZE NA KUFURAHI ILA VINYWAJI WAJITEGEMEE KUWE NA BAR
ALL IN ALL MY DEAR KWA UMRI WAKO UMEJITAHIDI ACHANA NA WANAFKI WAO UKIWAPA HATA NUSU HAWAWEZI WEWE UMETUONYESHA UNAWEEEEEEEEEEEEZA KEEP IT UP