Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. aaaghhhh!!! nyimbo zake zina mvuto kusiliza ila yeye akiongea hana mvuto wa kumsikiliza..pozi kibao

    ReplyDelete
  2. Linah hata kama uko USA zingatia mavazi dada. Kujicholesha mbele ya kandamnasi si vyema, jiheshimu uheshimike!

    ReplyDelete
  3. nakushauri ujichunge sana mwili wako.USIDANGAVYIKE mdogo wangu. Nadhani umenipata

    ReplyDelete
  4. nakushauri ujichunge sana mdogo wangu...USIDANGANYIKE... nadhani umenipata

    ReplyDelete
  5. Honestly binti hana pozi kama tunavyoweza kum-judge. Uwezo wake wa kujieleza professsionally uko chini na yuko too humble kuomba na kujieleza kama hayuko kwenye fani vile. Hana lugha za kuvutia watu na kuonesha umahili au ukomavu wa kazi yake na anaonesha zaidi kumshukuru mungu kwa mafanikio na sio kujikweza kama wengine, "akina njoo muone mavitu yangu nk". Promoter msaidie binti aongee kama star na sio kama anajitambulisha. Anaomba hata watz ku-support kazi za nyumbani vs za wengine. Hana lugha ya kibiashara. Naomba kuwasilisha maoni yangu positive yenye nia ya kumjenga dada yetu.

    ReplyDelete
  6. anon Mon Mar 05, 06:48:00 PM 2012
    Binti kafanya interview nzuri kama unafatilia wasanii wanaokuja kufanya show USA utakuwa unajua story za artist waliokuwa arrogant na impact walizopata..She did very well!
    Sijui kama uko USA ila huku kuna vitu vingi vya kufanya na sehemu nyingi za kwenda, In a nutshell people tend not to-show up kwenye show za artist ambao wako arrogant

    ReplyDelete
  7. Fanya interview nyingine.. hii hainishawishi nije kumuangalia kwenye shows zake. FULLSTOP.

    ReplyDelete
  8. Huya Linah, siyo kosa lake jamani. Mie naona ni kosa la THT kutowafundisha wasanii mambo mengi, mfano kama kufanya interview kwa lengo fulani(Kuuza usanii wake). Vile vile ilibidi na yeye anauliza wasanii wakongwe kama akina AY wamsadie (naona aliimba wao naye nadhani angemsaidia sielewi huelewano wao lakni. Yaani ukuwasikia/ukiwaona wasanii karibu wote toka East Coast enzi hizo wanjimudu utadhani walienda shule kumbe wapi na ni mmoja tu alikuwa shule wakati huo, Mwana FAJamaa. Watoa interview wangemsadia kwa kumpa mwongozo jinsi ya kuongea, kuangalia Camera anapoongea, jinsi ya kukaa n.k Mie kama Dj wa radio huku niliko huwa nawasaidia sana wasanii wa kwetu, kwani soko la huku na kwingine ni tofouti. Hawa wasanii wanauza kazi zao, Bongo na Africa nzima. Hili ndio soko hulia kweli. Wabongo wengine inabidi wawasadie wasanii kama hawa, kwani tunapoona interviews kama hizi zinatugusa wote wa Bongo ughaibuni labda uwe na roho ya kutojali.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...