Mbunge wa Jimbo la Ubungo(CHADEMA)Mh John Mnyika akitoka mahakamani,nyuma ni wakili anayenitetea, Bw. Mbogolo
Wakili Wa Mbunge wa Ubunhyo(CHADEMA)Bw. Mbogolo akiwa anatoka akimsabahi Mshtaki, Bi. Hawa Nghumbi (CCM) Jana Jijini Dar es SALAAM
"Nguvu ya Umma......Peoples Power!!""Sauti ya watu, sauti ya MUNGU"Jana Jijini Dar es Salaam
Munge wa Ubungo(CHADEMA)Mh John Myika(wa Nne Kulia)akitembea kutoka mahakamani kwenda ofisini Ubungo na wananchi waliofika mahakamani "A walk from Court to Office" jana jijini Dar es Salaam.
Picha na Habari Zimeletwa na John Mnyika(MB)
Huyu Bwana Mdogo John aachwe tu aendelee na yeye Bi Mkubwa Hawa atafutiwe angalau shughuli ya kufanya ili apoteze muda na kuwa itatugharimu walipa Kodi kwa suala lao !
ReplyDelete