Meya wa manispaa ya Moshi ,Jafary Michael akikabidhi fedha kwa vikundi vya vijana katika kata za Pasua na Bomambuzi kwa ajili ya kuanzisha miradi ya mazingira.
Vijana wa kata za Pasua na Bomambuzi wakiagana na Meya wa manispaa ya Moshi Jafary Michael mara baada ya kuwakabidhoi fedha kwa ajili ya kuanzishia miradi.
Vijana wa kata za Pasua na Bomambuzi wakimsilikiza Meya Michael (hayupo pichani) wakati wa hafla fupi iliyifanyika katika shule ya sekondary Anna Mkapa,mwishoni mwa wiki.vijana hao hadi sasa wamekabidhiwa kiasi cha sh milioni 8 kwa ajili ya kuanzisha miradi ya mazingira.Picha na Dixon Busagaga.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...