WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Rais anayeshughulikia Muungano Mh Samia Suluhu Hassan akipata Maelezo juu ya ufugaji wa Nyuki kutoka kwa katibu wa kikundi cha ushika cha kibokoni Bqw Khamis Suleiman alipotembelea kikundi hicho kinachofadhiliwa na mfuko wa maedeleo ya jamii (TASAF) Pemba, wakatikati ni Mkuu wa wIlaya ya Chake Chake Mh Mwanajuma Majid .
Mh Samia Suluhu Hassan akipata Maelezo kutoka kwa Bw Khamis Feiz wakati akitembelea Ujenzi wa Barabara ya Ndugunkitu Mkoroshoni inayofadhiliwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)
Waziri Wa Nnchi Ofisi Makamo ya Rais Mungano Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Bw Daud Ismail mkazi wa Wawi juu ya Bwawa la Umwagiliaji Maji katika Mashamba ya Dobi Wawi alipofika kutembelea mradi huo ambao unafadhiliwa na mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) alipofika kukagua Ujenzi huo. Picha na mdau Ali Meja wa VPO.
Mfuko wa maendeleo ya jamii TASAF umetumia jumla ya shilling bilon TANO kisiwani pemba tokea mwaka 2006 katika miradi mbali mbali ya maendeleo, kwa mujibu wa maratibu wa mfuko huo kisiwani Pemba, Bw Issa Juma Ali
Akitoa mchanaganuoa wa matumizi ya miradi ya TASAF unaofadhili wa na serikali ya jamuhuri ya muungano Bw. Ali amesema kuwa katika mradi huo awamu ya pili wamefanikisha zaidi ya miradi 347 ambayo imepata ufadhili wa jumla ya shilling 5,544,696,611.
Alikuwa akitoa maelezo kwa Waziri wa nchi ofisi ya Makamo wa Rais anayeshughulikia Muungano Mh Samia Suluhu Hassan aliye katika ziara maalumu ya siku tano kisiwani Pemba kukagua miradi mbambali ya maendeleo
Miongoni mwa miradi ambayo ametembelea ni pamoja na mradi wa ufugaji nyuki kibokoni ambao umefadhiliwa jumla ya shilling million kumi hadi sasa. Pia takatika zira hiyo mradi wa umwagiliaji maji wa DOBI WAWI ambao umepatiwa ufadhili wa jumla ya milon 39,947,710, ambao utwanufaisha jumla ya wananchi 2000i utakapo malizika .
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...