Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru akizungumza na baadhi ya wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakati wa hafla iliyoandaliwa kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari nchini iliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro
jijini Dar es Salaam jana.
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa benki ya NBC, Mwinda Kiula Mfugale akizungumza na katika hafla hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru (kulia) akisalimiana na baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari katika hafla aliyowaandalia katika Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam jana.
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa benki ya NBC, Mwinda Kiula Mfugale akizungumza na baadhi ya waandishi wakati wa hafla hiyo.
Mmoja wa wahariri kutoka Gazeti la Daily News, Masato Masato akiuliza swali katika hafla iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Lawrence Mafuru (hayupo pichani) kwa wahariri wakuu wa habari za biashara na uchumi katika Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam juzi.
Mhariri wa Gazeti la Habari leo, Mgaya Kingoba akimsikiliza kwa makini, Ankal Michuzi wakati wa hafla hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Lawrence Mafuru wa tatu kushoto akiwa na baadhi ya maofisa wa benki hiyo jana.



Misupu umechoka sana...when r u retiring? bongo choka mbaya sana I guess maisha magumu.
ReplyDeleteWe mkaka/mdada unayemsema ankal ungejua mwenzio yuko vipi usingeleta upuuzi wako. uliza uambiwe sio unalala kwenye community flats huko ukajiona umefiiiika. uliza
ReplyDeleteNi kweli kwa sasa Ankal amechoka kwani utendaji wake ktk blogu ya jamii na hata utundikaji kwa video kule Mdauwalibeneke YOUTUBE umeshuka viwango.
ReplyDeleteInaelekea amelewa na mafanikio ya kifedha bali akumbuke The King of Today is The Pauper of Tomorrow.
Mwenzie Rupert Murdoch ana umri wa miaka 80 lakini anaendelea kusimamia vyombo vyake vya Habari kama Sky News na Magazeti bila kuchoka.
Ankal tunakupa ushauri wa buree wewe hujatimiza umri wa miaka 52 na umeshaanza kulegalega kwa vijisenti.
Mdau
Ukerewe
huyo wa kwanza kulia mweupe mbona anafanana na yule mtoto zamani aliyekuwa akitangaza ITV kipindi cha watoto?jina lake limenitoka kidogo.
ReplyDeleteankali hizo nguo zako za usalama wa nanihii zinakupendeza sana mavazi kama hayo yanaonekana sana kwenye misafara ya mkuu wa nchi mh.jk
ReplyDeletewewe mtoa maoni wa kwanza bila shaka una chuki binafsi na ankali na tena kukuonyesha kuwa hana kinyongo na comment yako kaiweka vilevile big up ankali
ReplyDeleteNdiye yeye huyo mtoto wa ITV Watoto Show, siku hizi mkubwa, kala shavu NBC.
ReplyDeleteMtoa Maoni wa Kwanza Anonymous Thu Mar 01, 11:16:00 PM 2012
ReplyDeleteNinyi wabeba Ma box Ughaibuni mna tabu sana kila mtu aliyekuwa huku Tanzania mnafikiri ana shida ana njaa!
Tatizo ni kuwa wengi wenu mmekwenda Majuu kukimbia shida Bongo na ni ukweli kuwa mlipokuwa hapa Bongo mlikuwa njaa kali sana ndio maana hata mkifika Majuu mnakuwa hamchagui kazi za kufanya, na hamna mipango ya maana huko ni rahisi kubebeshwa mabox na Wazungu.
PAMOJA NA SHIDA MLIZO NAZO HUKO MAJUU BAADHI YENU(WENYE MAISHA MAGUMU NA SHIDA MAJUU), KWA UJINGA WENU MNAAPA KUTOKURUDI TANZANIA!
Ankal yupo Bongo kajaa tele kama pishi la Mchele ana HESHIMIKA KTK JAMII NA ANA PESA ZAKE!
Wewe Mjinga Mtoa Manoni wa kwanza Thu Mar 01, 11:16:00 PM 2012
ReplyDeleteWewe tokea upate visa yako ya kwanza tena kwa Bahati baada ya kuomba mara kibao ukinyimwa, na ulipopata kwa bahati tokea uende Majuu hujarudi Bongo kwa kuwa huna hata uwezo wa kurudi vile huna Sheria huko na Viza yako ya bahati ilikwisha muda wake kitambo, Huko Majuu kwenyewe umesitiriwa unalala Jikoni au Bafuni kwa Mshikaji una shida na njaa huko Majuu.
Sasa Ankal karibu kila mwezi anasafiri nje kwenda nchi mbali mbali DUNIANI ,EUROPE, AMERICA, FAR EAST NA KWINGINEKO, ambazo wewe hujafika na hutaweza kufika maisha yako yote hadi kifo chako,
Ankal anakaa na kulala Mahoteli mbali mbali hadi ya 5-Star ambazo hata wewe hujapata jeuri na uwezo wa kutia maguu yako huko Majuu tokea ufike kwa bahati huko!
Anonymous wa Thu Mar 01, 11:16:00 PM 2012
ReplyDeleteHahahah Madu niache nicheke kwanza!
Ukiona vyaelea vumeundwa!
Hivi ndugu yangu ukiona unaondoka Nchini Tanzania na kwenda nje unafikiri ndio kwamba Bongo hakuna mipango au Fedha? au ndio maisha yamefika mwisho?
KWA TAARIFA YAKO BONGO TAMBARALE KILA MTU ANA MIPANGO YAKE NA KILA MBUZI ANAKULA KWA UREFU WA KAMBA YAKE!
HATUKATAI BONGO SHIDA ZIPO, WAPO WENYE SHIDA KAMA WEWE ULIYEZIKIMBIA, LAKINI UPANDE WA PILI WA PAZIA MAMBO HAYAFANANI WAPO WATU WANAZO FEDHA!
Wewe unaondoka huku nyuma watu wanavuta Mapesa kibaooo tu, hadi yale magari unayopigia picha ambayo siyo yako huko majuu halafu unatutumia ktk Mtandao, Watu huku Tanzania wanayamiliki kwa fedha zao huwezi amini!
We Muosha kinywa wa Kwanza unafikiri unapokuwa na njaa zako ukakimbilia Majuu ndio kila mtu ana njaa kama wewe?
ReplyDeleteBongo mipango, wewe na njaa zako unakimbilia Majuu kubeba Ma box nyuma Tanzania watu wanazivuta noti kama hawana akili vile!
Mchovu wa Kwanza hapo juu:
ReplyDeleteMajuu kwenyewe hata nauli ya ndege kutokea Bongo ulikuwa huna umetumiwa na jamaa zako wa Majuu.
Huko Majuu kwenyewe unaishi kwa Msaada wa Washikaji kutwa unashinda ndani hutoki nje huna Sheria na viza yako iliisha muda kitambo tu!.
Hata inteneti unayotumia kotolea uozo wako huo wa Maoni unafanya kwa kuibia mpaka mwenyeji akitoka ndio nyuma unawasha inteneti kwa kuibia unatuma Maoni!
Wewe mtoa Maoni wa kwanza upo Majuu na njaa zako nyuma watu wanamgandamiza Demu wako na Sista wako ukirudi unawaita watu Mume mwenza au Shemeji !
ReplyDeleteNdiye yeye yule bw. mdg wa kipindi cha watoto, anaitwa Eddie, sasa yupo hapo NBC ni mmoja wa officers pale!
ReplyDelete