Mwakilishi wa Baraza la Wawakilishi jimbo la Uzini, Mohammed Raza Dharamsi akiapishwa na spika wa baraza la wawakilishi Kivicho katika kikao cha Baraza la Wawakilishi kichoanza leo mjini Zanzibar.Raza ameapishwa kufuatia kuibuka kidedea katika uchaguzi mdogo wa jimbo hilo, uliofanyika mapema mwaka huu na Raza kuibuka na ushindi wa asilimia 61.
Home
Unlabelled
Mwakilishi wa Baraza la Wawakilishi jimbo la Uzini, Mohammed Raza Dharamsi aapishwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hongera kwa muheshiwa Razza M/Mungu akusaidie katika kiapo chako hicho na kuzika tafauti zako za awamu zilizopita na kufikiria kujenga Zanzbar mpya badaya ya majungu na mipasho huu si wakati wake.
ReplyDelete