Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. kweli mnajuwa kubana matumizi,,,,mmejishoot wenyeweee!,,oohh kaa hapa simama hapa!,,haya haya tuma kwa Michuzi Wabongo watupate pate.Big Up kaka zangu,ni kweli mkisubiri kufagiliwa Bongo mpaka mtazeeka,,Sifa jipe wenyewe!masikini wasanii wa Bongo wanaimba na kufanya video zao hawarushwi hewani wala nini,cha moto wanakiona!
    Nimeipenda hiyo!

    Ahlam,,,UK

    ReplyDelete
  2. ...si mchezo! Shughuli za watu hizi jamani, tafuteni vipaji vyenu, kwny muziki bado!!!

    ReplyDelete
  3. Mh , we unaye sema bado umazaliwa au bado?Hawa jamaa naona wanaRap.
    Labda wewe ukatafute chaka ,mchawi nini, unachuki nao binafsi nini?Au wamekutenga ujuwi mziki?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...