Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipandisha mlima Kilimanjaro wakati alipokwenda kwenye la Mamlaka ya Maeneo Maaluum ya Uzalishaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA) Mabibo jijini Dar es salaam leo kuzindua Bodi ya Wakurugenzi wa EPZE
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeo Maalum ya Uzalishaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA), Dr. Adhelm Meru (kulia)kutelemka kutoka kwenye Mlima Kilimanjaro wakati alipokwenda kwenye eneo hilo Mabibo jijini Dar es salaam leo kuzindua Bodi ya EPZA. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...