Toyota Verossa,
Mwaka 2003,
Imetembea KM 66000,
1980cc.
bei maelewano
Mawasiliano 
0753 047 577
 muonekano wake kwa nyuma
 Shoo ya ndani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Mchuma wa pesa ndefu huo, sio una senti zako baada ya kuuza kabeji za Lushoto au pesa za mkopo toka kazini kwako kwa mhindi upige simu kumsumbua mmiliki.

    ReplyDelete
  2. na we muuzaji sasa si uweke hata bei ya kuanzia at least mtu unajua hatakama kuna maelewano kwamba nipo karibu na hio bei au mbali kabisa ili nisikupotezee muda wako wala usipotezee wangu maana hakuna anemlipa mwenzie

    ReplyDelete
  3. piga simu. au hauna macho ya kukuwezesha kuona namba yake ya simu

    ReplyDelete
  4. La muhimu ni 'kisu' au fweza isiwe ya mawazo,,,usiingie Hotelini ukiwa hujajiandaa matokeo yake usije acha ndala zako ukaenda pekupeku bureee !

    Tatizo Wabongo wengi wana tamaa ya magari wakati mtu unakuta ana nunua gari pesa yooote huku hela ya mafuta mgogoro na ziada ya akiba hana !

    Umiliki wa chombo kwa mazingira haya,,,Hiki sio kiama ?

    ReplyDelete
  5. si ndio the same thing nakwambia kabla ya kupoteza credit na muda kama bei ipo unajua nipige au nisipige cos hauwezi kuwa na milioni moja kumbe gari ni milioni ishirini for that reasons nakua sina haja ya kupiga sababu gap linakua kubwa sana na pia nitakupunguzia muda watu acha uchizi weka bei hatupigi sim hatuna credit

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...