Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. YEP!KAZI NZURI SANA,WADAU PIGENI KAZI MAANA BILA NYIE NO TASWIRA NA WALA HATUWEZI JUA NINI KINAENDELEA NCHINI. KAZI YENU IMETUKUKA SANA!

    ReplyDelete
  2. pesa noma,pata picha kama hawa jamaa wangekua wameobwa tu,au wamelazimishwa wapige picha nafikiri mikao hiyo isingepatikana

    ReplyDelete
  3. hahahaa , this is too much !hii style england awawezi ruhusu! ahhaha

    mdau paris

    ReplyDelete
  4. Bila ahadi ya 'Sarafu' au chochote ni vigumu mtu kuambiwa ukae ktk mikako ya namna hii!

    ReplyDelete
  5. Ama kweli Muusho huoshwa. Nyie mwawapiga wengine na mwingine kawapiga nyie.hahahahahahahahah

    ReplyDelete
  6. Mi napingana na wewe mdau wa hapo juu, pia kuna wengine kazi kama hizi zipo damuni...hata bila pesa kuna watu wanaofanya hivi. Kupenda kazi yako ni raha sana!
    Na hakuna kitu kizuri kama kupenda kazi yako, hata wakwambie ujigalagaze kwenye matope utajigalagaza tu, kama unaipenda kazi yako kisawasawa bila kusubiri ulipwe!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...