American Jazz Musicians Bobby Ricketts (second from right) and Delmar Brown (on his right) perform in front of journalists to promote the Dar Jazz Event 2012 sponsored by the American People, during a press conference held at the U.S. Embassy in Dar es Salaam recently. Looking on is Public Affairs Officer, Ms. Dana Banks (right) and American Jazz Musician Tony Bunn (left).
Public Affairs Officer, Ms. Dana Banks (second from right), pose for a photo in front of journalists with American Jazz Musicians Bobby Ricketts (right); Delmar Brown (third from right) and Tony Bunn (left) after a press conference to promote the Dar Jazz Event 2012 sponsored by the American People, held at the U.S. Embassy in Dar es Salaam recently.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Haya Wana Bongo Fleva na Muziki wa Kizazi kipya,,,Wanyamwezi asilia ndio haoooo ndani ya nyumba Bongo Dar Salama kazi kwenu !

    ReplyDelete
  2. MSIJIFANYE MLIKUWA MNAUMWA NINYI KINA ALI KIBA SIJUI TID SIJUI DIAMOND WENTE KAZI SASA HAO HAPO NYUMBANI LKAMA HATA UGHA MTAELEWA YAANI KAZI KWELI KWELI NA HAYO MAMIZIKI YENU KAMA WAIMBAJI WA TAARAB

    ReplyDelete
  3. Si mchezo Ubalozi wa Marekani wanawaletea Wanyamwezi ndani ya nyumba.

    Ila msifanye kuwaleta hao Bongo iwe sababu ya kutunyimia visa wanetu akina Ali Kiba ,Diamond na TID na Mzee mzima mzee wa Mipasho Mzee Yusuf kwenda kutumbuiza Unyamwezini!

    ReplyDelete
  4. Wewe mdau namba 2 hapo juu wacha ujinga, kwani taarabu ina nini?

    Jazz ni muziki asilia wa wamarekani weusi, na taarabu tumeibadilisha na kuifanya ya kwetu.

    ReplyDelete
  5. ukiufahamu muziki wa Jazz unakuwa na upeo mkubwa sana kimuziki

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...