![]() |
Rais Barak Obama wa Marekani akimtambulisha Ankal ambaye amechaguliwa kutunukiwa nishani ya kuwa mwana Libeneke Bora Duniani kutokana na mchango wake mkubwa wa kuunganisha watu mbalimbali duniani kwa njia ya mtandao huu wa jamii. Tuzo hiyo imetolewa na American Celebrities Guild na inaambatana na zawadi ya kitita cha dola 800,000 za Kimarekani. Hafla hii imefanyika leo huko Los Angeles. Ankal amepewa heshima hiyo baada ya Globu ya Jamii kushinda tuzo ya Huduma Iliyotukuka hasa baada ya kuanzisha huduma za bure za mtandao, ambapo hivi sasa mdau unaweza kupata MichuziBlog Wifi bure katika kila sehemu iliyo na Hot Spot ya UhuruOne ambayo imeanzia jijini Dar es salaam wiki iliyopita na sasa juhudi za kuisambaza nchi nzima ili kuwafikia wadau wengi. Ankal amealikwa kwenda Washington DC, Marekani kwenda kukabidhiwa tuzo hiyo na Rais Obama katika Ikulu ya Marekani Aprili 10 mwaka huu. pamoja na hio na zawadi ya kitita cha dola 800,000 za Kimarekani kama kifutia jasho na pia pesa ya kupanua wigo wa Globu ya Jamii. Kwa habari zaidi ya huduma hiyo ya bure ya MichuziBlog Wifi BOFYA HAPA |
Victoria Beckham, mke wa mwanasoka maarufu David Beckham, naye alikuwa miongioni mwa nyota kibao waliokuwepo kumsapoti Ankal na Globu ya Jamii. LIBENEKE OYE!
Hongera kaka, wewe ni mfano mzuri wa kuigwa na blogger wengine.
ReplyDeleteANKAL YOU WONT GONNA FULL NO BODY,
ReplyDeletesiku ya wapumbavu dunuani
ReplyDeleteapr fool
ReplyDeleteSawa kaka leo ni siku ya wajinga teh teh.....!
ReplyDeleteapril fuuuuuuuuuuuuul ankal.
ReplyDeletemdau wa washington
Happy fools
ReplyDelete1st april fools day ujanipata bado ankal.
ReplyDeleteAPRIL fuuuuuuuuuuuul,ankal congrants.
ReplyDeletemdau washington
APRIL fuuuuuuuuul,ankal congrants
ReplyDeletemdau washington
Sikukuu ya wajinga hiyo
ReplyDeleteApril fools day
ReplyDeleteaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mzee michuzi cku ya wajinga ume
ReplyDeleteaaaaaaaaaaaaaaaa mzee michu umemkata huyo mtoa maoni hapo juu
happy april fools day
ReplyDeletesafiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sana mzee upo juu
ReplyDeleteHappy Fools Days kaka.
ReplyDeleteSiku ya wajinga!!!
ReplyDeleteHuyooooo, happy foools day!
ReplyDeletejamani huku kwetu bado tarehe 03/31/2012
ReplyDeleteHamna haja ya hii ankal,bongo kila siku april fools day
ReplyDeletehahahahahahhh kalaga-bao. kweli April 1st
ReplyDeletehe he hee humuingizi mtu choo cha kike labda wale wa kulee nanjilinji!
ReplyDeletehappy fools day ankal, mungu akubariki sana!
ReplyDeleteapril fooooooooooooooool oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
ReplyDeleteAnkal, kama hii habari ni ya kweli basi nakupa hongera nyingi sana ndugu yangu. Lakini leo hii April 1st kidogo inanifanya kuwa na kawasiwasi kama hii ni kweli au...
ReplyDeleteApril fool!!!!
ReplyDeleteKweli umewapata wengi leo siku ya wajinga dah!
ReplyDeleteau huu ndio mchezo wa tarehe mosi april kila mwaka?
ReplyDeleteFotoshopu hizo ankal mambo ya sikukuu ya wapumbavu.Siyo siri lakini nakupata tano kwa free WIFI
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteApril fools, humpati mtu Ankal, lol!
ReplyDeleteAnkal, hapa utalamba vichwa kishenzi. Hadi saa sita mchana utakuwa umewajaza kwa magunia.
ReplyDeleteAbiola Jr, Mafia kiduka cha juice.
Bwahahahaaaaaaaa April fool's day
ReplyDeleteAaa wapi, mimi hujanipata, labda utume tena hii habari tarehe 2.
ReplyDeleteIla ninauheshimu mchango wako.
hunipati leo ni foolish day
ReplyDeleteHuku bado march 31st. But hey - April fool's day
ReplyDeleteDuuh ankal bonge la news hizo laiti tu isingekuwa april mosi. Hongera enewaiz kwa ubunifu!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteApril fool brother.....!!
ReplyDeleteA.F......nice one he hee
ReplyDeleteFools day in full effect.
ReplyDeleteAPRIL FOOLS PRANKS DAY!!!!!
ReplyDeletehongera sana
ReplyDeletesiku ya wajinga...
ReplyDeletefools day unipati ng'ooo nice one
ReplyDeleteAprils
ReplyDeletefools DAY
mwaka huu hujatupata na siku ya wajinga
ReplyDeleteApril Fools Day
ReplyDeleteKuntry Boy
Mississippi
siku ya wajinga leo uncle!
ReplyDeleteLeo tarehe 1 April...
ReplyDeleteHappy fools day
ReplyDeleteWe Michezi acha zako ujamkamata mtu bado leo siku ja wajinga sio ahahahahahaha
ReplyDeletesiku ya wajinga duniani.hii habar si ya kweli
ReplyDeleteWe Michezi acha zako ujamkamata mtu bado leo siku ja wajinga sio ahahahahahaha
ReplyDeleteHongera siku ya wajinga duniani...
ReplyDeleteMichu za masiku ndugu yangu.Ngoja tuone wangapi utawapata leo. Anyways, kama kawaida comments zangu usiziweke tuone mabwege wangapi utawapata zis taimu
ReplyDeleteHaya sas hapa DC tunajiandaaje kumsuport Uncle? Maaana lazima tuiwakilishe nchi yetu ipasavyo, tafadhali Michuzi tuwekee ratiba ya hii shughuli some of us are interested to be part of it hata vigelegele tuuu kukushangilia inatosha! Keep us posted. U desersve more than this tuzo kwani wengi wetu tuliopo huku nje tunakuwa up to date na mambo yote yanayotokea nyumbani through your blog. Naanza siku na issamichuzi na ninamaliza siku na issamichuzi! Keep up good job na uendelee kubarikiwa.
ReplyDeleteMDAU WASHINGTON D.C
japo kuwa ni siku ya wajinga dunia,lakini bado una nafasi ya kufikia hiyo level,komaa.
ReplyDeletedah wajinga wapo wengi, haya Happy fools day Ankal.
ReplyDeleteHahahahaha poleni kwa wote mlioamini, Happy Fools Day.....Ankal me hujanipata......hahahahaha
ReplyDeletehappy fools day ankal
ReplyDeleteHappy April's fool the fooled fools !!! ...
ReplyDeleteMWAKA JANA ULINIPATA ULIPOTOA ZILE PICHA ZA KUPATA KAZI UBALOZINI MAREKANI.
ReplyDeleteTHIS YEAR UMECHEMKA KWANGU.
ANYWAY - IT ALL ENDS BAADA YA SAA NNE/TANO.
PRINCE SAB - WERRASONIQUE.
Ankal you can fool yourself i ain't no fool
ReplyDeleteApril fools....
ReplyDeleteHongera ya nini nyie? leo ni siku ya wajinga duniani! atapata wapi nafasi hiyo MIchu? saa hizi yupo kwao maneremango anakula ugali kwa mlenda!
ReplyDeleteHaya Uncle umewapata wengi kwani bado wana usingizi wa Kalenda.sio mbaya inapendeza sana endelea kuwakamata,mimi siwashtui hao,maana saa sita bado.waalike kwenye mnuso maana........
ReplyDeletewajinga wazembe na wakulima eo tunaingia mkenge mkuku mkuku ha ha ha ha!!!!
ReplyDeleteApril's fools - hizi ndoto za alinacha za ankal ni balaa! Naona keshawaokota hao wadau watatu hapo juu tena vizuri kabisa. Teh, teh... :-)
ReplyDeleteBuckinghamshire
Mmm! Hii imkaa kifools day fools day hahahahaha
ReplyDeleteLeo ni Siku ya WAJINGA DUNIANIA!
ReplyDeletewatu michuzi kawaweza kweli enjoy April 1st
ReplyDeleteHili haliwezi kuachwa bila kutambuliwa Kitaifa. Ankal amekuwa mfano mzuri sana wa kuwahabarisha na kuwaunganisha Watanzania ndani na nje ya nchi. Lakini ajabu sisi hatutambui hayo mpaka wenzetu wameona hilo. Juzi kulikuwa na tuzo za waandishi bora nchini lakini hakutambuliwa! Jamani umefika wakati mtu akifanya vizuri Asifiwe na kupata ushirikiano wa Serikali na wadau wengine kufanikisha ndoto zake haswa jambo lenyewe linapogusa jamii.
ReplyDeleteAnkal, hongera sana kaka yetu, hakika hayo ni mafanikio makubwa sana ya kujibunia.
Mhhh ngoja ni mezeeee uncle jioni ntacomment umenisoma eheeee
ReplyDeletehamjui leo sikuku ya wajinga eeeeh......
ReplyDeletesikukuu ya wajinga hahahahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeleteApril hii...mbona kazi ipo!!
ReplyDeleteAcheni nyie kweli umewapata hao wajinga ..................
ReplyDeleteSIKUKUU YA WEHU LEO.
ReplyDeleteSiku ya wajinga
ReplyDeleteRichard - Trondheim
Happy fools day uncle!ha ha ha ha
ReplyDeleteAPRIL FOOLS DAY PRANK!!
ReplyDeleteAPRIL FOOLS DAY PRANK!!
ReplyDeletejamani leo ni siku ya wajinga msiingie tu kichwa kichwa hizi picha ni photoshop
ReplyDeleteHivi we mzee wa kamba!
ReplyDeleteBado watu wanaendelea kuingia mjini mpak saa hizi? Hii siku kweli nzuri.
Haya utoe matokeo kamili tujue umewachapa wangapi mwaka huu.
Wajinga kweli ndio waliwaoooo!
APRIL FOOL..hahaaaaaaaaaa
ReplyDeleteMH!!! UNCLE LEO SIO SIKUKUU YA WAJINGA?????? HAHAHAHAHA. WATOTO WA TANDALE WABAYA UNCLE ANGALIA WASIJE KUKUVAMIA BURE WAKADAI MGAO WA $800,000 HAHAHAH
ReplyDeleteHAHAHAHA UNCLE NIMEKUSHTUKIA APRIL FOOL LEO.
ReplyDeleteALA KUMBE LEO NI SIKUKUU YA WAJINGA..UMEKAMATA WADAU...CHACHACHACAHAHAHAHAHAH
ReplyDeleteWajinga ndio waliwao! Siku kuu yenu hii na leo tarehe 01/04/2012 mnaisherehekea Rasmi na Mkuu wa Wilaya ya Tegeta kama mgeni Rasmi, pongezi kwa wote na hongera Mhe Michuzi katika fani hii ya usanii kwa kweli umewapata
ReplyDeleteHabari kama hizi zinapotolewa siku kama ya leo zinahitaji tafakari ya hali ya juu kabla ya kutoa pongezi maana today is FOOLISH DAY, hongera hata hivyo japo ninatafakari pia
ReplyDeleteCongratulation Sir. You deserve this. Keep it up!!
ReplyDeleteJombiiiiiiiii, umeula eee, yani ungepiga suti kwa hizo post zako ingekuwa swafiiiiii
ReplyDeleteHappy April Genius
haaaa haaaa haaaa, wajinga ndio waliwao. Sikukuu ya Wajinga leo.
ReplyDeleteGOO FOOL DR KIKWETE
ReplyDeleteHappy Fools Day!
ReplyDeleteApril fool
ReplyDeleteWhat a fool....
ReplyDeletehappy wajinga day
ReplyDeleteJuu Juu Juu zaidi.
ReplyDeleteFools must learn in hard way " Happy fools day"
ReplyDeleteHahahaha "HAPPY FOOLS DAY!"
ReplyDeleteHahahaha, tehtehteh. SIKU ya PUNGU1. Umewasomba kweli, tihtihtih.
ReplyDeleteSEA
ok uncle, tumekupata, leo ni tar 1.4.2012
ReplyDeleteAnkal naona umewapata kweli kweli hapo juu!
ReplyDeletelakini kumbuka its April 1st.
ReplyDeleteNi siku ya wajinga , humpati mtu ankal. We endelea uko uko bongo tu
ReplyDeleteAmewapata. Tarehe ngapi leo?
ReplyDeleteIs it not a fools- day means of gaining popularity?
ReplyDeleteAh aah aaaah sina mbavu. Top Award April Fools TZ!
ReplyDeleteHONGERA SANA KAKA MICHUZI UMEONYESHA MFANO MZURI KWA WATANZANIA
ReplyDeleteHongera kaka Michuzi. Wewe ni mfano mzuri kwa watanzania wengine.
ReplyDeleteHAppy April fool
ReplyDeleteumewapata sana watu siku kuu ya wajinga leo!
ReplyDeleteleo siku ya Wajinga.
ReplyDeleteGuys today is a foolish day
ReplyDeleteANKAL ANGALIA HAYO MATANGAZO YA HIVYO WASIKE WAZEE WA KAZI NA VYUMA BURE, KUMBE UMELALA NA NJAA,WANAFIKIRI UNA KITITA NDANI! WEE BBWANA HIO APRIL FOOL TUNAIJUA SISI MAJAMBAZI WASIOKWENDA SHULE WANAAMINI NI KWELI ANGALIA ANKAL USIJICHIMBIE UMAUTI, BONGO IMEKAA PABAYA.
ReplyDeleteAnkal ni April fool kama kuchaguliwa utachaguliwa mwenyekiti wa serikali za mtaa na majirani zako.
ReplyDeleteSasa Ankal photщshop huijui kiasi hicho! Iko cheap sana, mpaka inajulikana kama ni feki!
ReplyDeleteAngalia wenzio huku walivyotengeneza vitu, hapa kuna watu waliamini kwamba Rais Mteule wa Urusi Vladimir Putin amekamatwa kwa Uhujumu wa nchi huyu hapa kizimbani
http://www.youtube.com/watch?v=v1hLtFn4CLU
kama kweli una screen comments, imekuwaje ukatoa comment ya anon. Sun Apr 01, 05:36:00 AM 2012?????
ReplyDeleteplease msituchafule blog, kama mtu haweze kutoa maoni kwa heshima bora aache. kwa ujumla huyo anon wa Sun Apr 01, 05:36:00 AM 2012 labda yeye ndio ana tabia hizo. inakuwaje hadi amtukane mzazi wa uncle? nimesikitika sana maana nina imani watoa maoni humu tu watu wazima na sijui ni picha gani tunatoa kwa jamii. Mungu atuhurumie, kwa kweli naomba mungu amfanye mtoa maoni kuwa mu- injilist... Amen.
HONGERA ANKAL
ReplyDeleteHongera kwa kunicatch mwaka jana na mwaka huu.
Ila nakuombea iwe kweli.
Usisahau kuwa wafanya kazi sana na jamaa wengi tulio nje ya nchi umekuwa kama our umbilical connection to Bongo.
Kaka hongera kwa kuipamba vema siku ya wajinga. Uko juu!
ReplyDeleteHivi wewe hapo juu unaemtusi Michuzi, kwa maneno ambayo siwezi kuyarudia hapa, naomba nikuulize swali. Je, unalazimishwa kusoma hii blogu? Kama unaona kuwa inapendelea upande moja kwa nini unaendelea kuirudia kila siku. Soma blog zingine. Nenda kasome jamiiforum, rai na wengineo. Na je, umeshindwa kuanziha ya kwako? Kwa sababu, mimi ninavyojua kutengeneza blogspot ni bure. Kwa nini usitengeneze ya kwako ambayo itatangaza habari za hao waokuf**a wewe. Nisamehe. Lakini watu kama hawa wanakera kaka Michuzi. Nimalize kwa kusema uhuru wa kusema ni haki ya msingi lakini heshima mbele ya kadamnasi ni muhimu.
ReplyDeleteAnkal... mimi nimeipenda. hata kama ni fools day, lakini hi inaonesha how big your dreams are!!! You will get there. Just believe in yourself. anaebisha is the fooled fool.
ReplyDeleteLeo umechemka sana Mkuu Bora ungeweka hiyo picha moja tuu hapo tehe nimeiponda photo fania kwa kweli
ReplyDeleteDu,Hata mimi nilishaamini ila kwa mashaka.
ReplyDeleteHongera kwa kutuweza.
Anko happy fooool day ila nashukuru umenifunua macho kwa baadhi ya zile picha za kwenye magazeti ya udaku.
ReplyDeleteKama si April Fools' day, hongera ankal Michuzi. Na kama ni utani, nakiri unastahili tuzo.
ReplyDeleteHappy fools Day!Baba hongera kwa utaalam huu wa photoshop hapa nimekuvulia kofia.!!
ReplyDeleteHiyo ni sawa na tshillings;1,240,000,000/= you are a richman, no longer michuzi.
ReplyDeleteHakika umewapata
ReplyDeleteITS FOTOFUNNIA SIO PHOTOSHOP GOOGLE PHOTO FANIA DOWNLOADIT ON UR PHONE AU COMPUTER NA WEWE UTAWEZA KUWEKA PICHA KAMA HIZI HAPPY GENIOUS DAY
ReplyDeleteMimi sipo ktk 1ST APRIL FOOLS DAY!
ReplyDeleteMimi ninaomba Ankal ukipewa hiyo cheki yako ya US$ 800,000.00 mimi unitumie angalau US$ 1,000.00 tu NITASHUKURU SANA !