Flora Mbasha anatoa salaamu za pole kwa ndugu jamaa na marafiki na watanzania wote kwa msiba uliotupata wa kuondokewa na msanii Steven Kanumba. Sisi tulimpenda lakini Bwana ampenda zaidi. Bwana ametoa na Bwana ametwaa. Katika kipindi hiki kigumu cha maombelezo tunajifariji na wimbo huu.
Jina la Bwana libarikiwe.
- Flora Mbasha
Our dearest Kanumba, you will be missed dearly. May God rest your soul in peace. We hope that those whom you featured in your movies in one way or another will carry on your superb acting spirit and talent to flawlessness.
ReplyDeleteOur love and prayers be with you forever.
Yours Big and now a sad fan,
Chacha