Meneja Mauzo wa Kampuni ya Ndege ya Emirates Tanzania,Lyidia Kibonde akitoa ufafanuzi wa namna ya kutumia huduma ya Smart Point inayotolewa na Kampuni ya Galileo By Travelport kwa Mawakala wa kuuza tiketi za Ndege nchini wakati wa semina ya siku moja iliyofanyika leo kwenye ukumbi wa Lemmon Tree,Hoteli ya JB Belmont Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkuu wa Kitengo Mafunzo wa Galileo By Travelport,Robert Maina.
Ofisa Mipango wa Kampuni ya Galileo By Travelport,Rehema Issa akielekeza jambo kwa Mawakala wa kuuza tiketi za Ndege nchini wakati wa semina ya siku moja iliyofanyika leo kwenye ukumbi wa Lemmon Tree,Hoteli ya JB Belmont Jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo Mafunzo wa Galileo By Travelport,Robert Maina akitoa mafunzo kwa Mawakala wa kuuza tiketi za Ndege nchini wakati wa semina ya siku moja iliyofanyika leo kwenye ukumbi wa Lemmon Tree,Hoteli ya JB Belmont Jijini Dar es Salaam.
Muendeshaji wa Semina hii alikuwa ni Dada Khadija Kellow wa Galileo By Travelport.
kwa picha zaidi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...