Maigizo ya Mateso ya Bwana Yesu Kristo yakifanyika katika ibada ya Ijumaa kuu kwenye kanisa la KKKT Azania Front jijini Dar es Salaam.
Maigizo yakiendelea.
Askofu Mkuu wa Kanisa la KKKT,Alex Malasusa akiwa na Mchungaji wa Kanisa la Azania Front
Waumini wa Kanisa la Katoliki la Mt. Joseph jijini Dar es Salaam wakibusu msalaba leo wakati wa ibada ya Ijumaa Kuu.
Waimabaji wea Kwaya Kuu kanisa la KKKT Azania Front.
Waumini wakiwa katika ibada ya Ijumaa Kuu katikia Kanisa la KKKT Usharika wa Azania Front jijini Dar es Salaam leo.Picha na Francis Dande.
Mimi nashangaa siku hizi mtu ukiwa na ndevu unaitwa USAMA kumbe hata YESU alikua nazo!! Ama kweli kunya anye kuku tu akinya Bata KAHARISHA.
ReplyDeleteKumbe walikuwa wakivaaa ushungi kujifunika Nywele sio? tizama mlivyopendeza endeleeni hivyo Fateni yale Yesu kataka mfate sio kujiweka Uchi. Tanzania wanapenda PASAKA HUKU BARA LA ULAYA HAKUNA CHA PASAKA WALA NINI NA NDIO SEHEMU ZA PASAKA.
ReplyDeleteAsante sana Kaka Michuzi kwa hizi picha... maana nime miss sana haya maigizo, jana tu nilikuwa nakumbukia nyumbani. Samahani nimeshindwa kujizuia na nikaweka katika kurasa FB... Endeleza libeneke na ubarikiwe sana!
ReplyDeleteBara lipi la Ulaya ulilopo mwenzetu hapo juu?
ReplyDeleteMimi nipo Ujerumani, tumepumzika Ijumaa Kuu na kesho na J3 ni Pasaka. Au upo Kirgistan?..pia ni Ulaya