Diamond akiaga kwa saluti muda mfupi kabla ya kupasua anga kutokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam na kuelekea kiota cha matanuzi cha Dar Live cha Mbagala
Sio kampeni bali ni chopa iliyombeba Diamond ikitua Mbagala
Diamond akimuaga rubani wa chopa.
YES:
ReplyDeleteMbagala, Mbagala, Mbagala!
Imekaa vizuri Mpiganaji Diamond, fanya kweli babake!
Sasa unaingia Mujini Mbagala kwa Chopa/ Helicopter!
Sasa itabidi uimbe wimbo wa kuipaisha Mbagala baada ya 'kuichana vibaya' mwaka 2009 ukisema 'Mbagala huku nyumba huku Jalala' !!!
Diamond uko juu, hongera zako! kuuliza si ujinga, hivi hizo nguo za kijeshi zinamaanisha kitu gani hapo??!!
ReplyDeleteDiamond waombe radhi wana Mbagala...Unakwenda kufanya nini tena huko kwenye 'majalala'.??
ReplyDeleteDavid V
Naona imepigwa ribiti kibao, chonde chonde jamani msije mkaleta balaa nyingine huku Mbagala.
ReplyDeleteMdau Wed May 02, 02:44:00 PM 2012
ReplyDeleteMbagala hatuwezi kuteseka na kuanguka kwa Helikopta ni vile mita kadhaa tuna Kambi ya Jeshi wataruka na Miamvuli kwenda kumuokoa Diamond angani pamoja na kandia zake kwetu kipindi kile mwaka 2009-2010,,,ktk wimbo wake dhidi ya Mbagala!
Wana Mbagala hatuwezi kumwacha Bwana Mdogo Diamond anaaga maisha kwa kuanguka na Helikopta kipindi hiki akiwa na mafanikio yake makubwa ki Sanaa na ki fedha!
ReplyDeleteKama mwana ndugu tutasahau wimbo wake 'Mbagala jalala' dhidi yetu na kumuokoa ili aendelee kutuliwaza mara kwa mara hapa kwetu Kiotani Dar Live!