Novemba 18, 1995: Ankal akiwa na wadau. Katikati ni Kabendera Shinani wa BBC (marehemu) na kulia ni Moshy Kiyungi wa The Guardian siku moja kabla ya kuapishwa kwa Rais wa awamu ya tatu Mh Benjamin William Mkapa uwanja wa Uhuru. Hapo ni wakati wa rihezo ya jinsi gani kazi itafanyika bila kelele wala mikwaruzo.
Huu ni mwendelezo wa safu ya kila Jumapili ya KUTOKA MAKTABA ambapo Globu ya Jamii inakaribisha wadau wenye taswira za miaka ya nyuma waje washee nasi kwa kuzituma kupitia issamichuzi@gmail.com
Huu ni mwendelezo wa safu ya kila Jumapili ya KUTOKA MAKTABA ambapo Globu ya Jamii inakaribisha wadau wenye taswira za miaka ya nyuma waje washee nasi kwa kuzituma kupitia issamichuzi@gmail.com
hiyo tai ya anko michuzi imefungwa kinamna namna. duuuuuu!
ReplyDeleteDah, Ankal enzi hizo ulikuwa umefulia nini! Very slim kitambi hakuna kabsaa haha, mambo ya enzi hizo bwana!
ReplyDeleteAnkal huu ndio mwili unaotakiwa itabidi ujifue sana urudie umbo hii;)
ReplyDeleteTeh teh teh kwani huyo jamaa yako wa kuumeni kulikuwa na ulazima wa kuvaa tai ?
ReplyDeletethen broke out to kill civilians, Tanzania and others rush to ditch kenya today, but just getting justice is the day God will give his judgment here on earth,
ReplyDeleteno more of killing a good history and restore the land back and destroy the economy,
Bro Michuzi kumbe ulikuwa hivi, umetoka mbali!!
ReplyDeleteAnkal mambo ya Suluari za "celebrations" ndiyo yalikuwa yanaingia siyo?Si mchezo mkuu.Sasa tumeacha tena celebrations tumerudi tena kwenye flat tena..hahaha..pochi kubwa mfuko wa nyuma iliyojaa business cards na magazeti hahahaaaa..wabongo bwana.
ReplyDeleteDavid V
aisee hio tai ya mwenye suruali nyekundu...duuuh,ankal ulikuwa huna kitambi lol
ReplyDeleteAnkaaaaal..........Ankala saivi noumaaa kaka umetoka mbali na hili tasnia ya uhandishi na ki ukweli mko wachache wenye weledi haswaaa wa hii taaluma
ReplyDeleteMdaw
jamani,kweli saizi maisha mazuri sana maana hii picha imeongea mengi,hongera aisee hata kuwa na afya nzuri ni maendeleo pia
ReplyDeleteNyie mnaomshangaa ankal kaangalieni na nyie picha zenu za 1995, ooh ankal ulikuwa hivi ooh ulikuwa umefulia nani kakwambia kunenepa na kitambi ndio pesa kwa taarifa yako unene na kitambi ni maradhi. Kwendeni zenu tena msisahau kungalia picha zenu ili ujumbe muupate kamili.
ReplyDeleteAcheni kumsakama Ankal,,,Tafadhali.
ReplyDeleteUjumbe mkuu ni kuwa tusifikiri Maendeleo ktk Fani au kitu yanakuja kama mvua au kwa haraka tuangalie kuanzia hiyo mwaka 1995 Ankal yupo kwenye fani hadi hii 2012 pana miaka 17 (umri wa mtu ambaye naye sasa anajitambua).
Changamoto nyingi, milima na mabonde amezipitia, visiki na vigingi kutoka kwa Walimwengu,,,sio mchezo na sasa mtu anapopanda madege wamwache nae atanue kwa nafasi yake!
Hongera Ankal kwa ustahimilivu kwa miaka hii 17 ya kazi !