Leo ni siku ya Sheikh Abeid Aman Karume, Rais wa kwanza wa Zanzibar ambaye siku ya  Ijumaa ya Aprili 7, mwaka 1972,  aliuawa kwa kupigwa risasi  wakati akicheza Dhumna yeye na maswahiba wake wa karibu katika  makao makuu ya chama cha Afro Shirazi Kisiwandui, Unguja, ambayo sasa ni Makao Makuu ya CCM, Zanzibar.
Leo ni siku ya mapumziko na viongozi wa juu serikalini pamoja na wananchi wa visiwani wanakutanika hapo Kisiwandui kuzuru kaburi la Hayati Karume ambaye alizikwa hapo hapo makao makuu ya chama.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Eh, eh, eh, anatoa alama ya 'v' ina maana Hayati Karume naye alikuwa mwana Chadema?

    ReplyDelete
  2. Alama ya ''V'' itakuwa CHDM wamekopi kwa Hayati Mzee Karume !

    ReplyDelete
  3. Bwana Muhidin Issa Michuzi,

    ahsante sana kwa kunipa fursa ya kupata habari kushusu tukio hilo.

    Nina suala moja: leo umehudhuria sherehe hii wakati ambapo viongozi na wananchi wamejumuika kuadhimisha kumbukumbu ya Karume?

    Mimi pia nina kurasa yangu ya blog na ningependa kujua zaidi ili kuandika makala moja! (ukitaka kuona tovuti yangu ni anuani hii: http://historicite.over-blog.com/ - mimi ni mfaransa)

    Ahsante sana!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...