Salamu za Rambirambi tokakwaNyalusi



 Fundi akiendelea kuandaa matent kwa ajili ya wageni mbali mbali watakao hudhulia dhifa hiyo ambayo nawezaa sema ni ya kitaifa kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar. 
 Viti vya kutosha vikiendelea kushushwa.
  majani yakipunguzwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Huhh huyu jamaa kapewa Hadhi kuubwa huh.....!!!!!

    ReplyDelete
  2. Usijali hiyo ndiyo hali, kila mtu hupata mazishi kama alivyopangiwa na Mungu - waweza kumuona mdogo kumbe mwingi huyo! R.I.P Steven!

    ReplyDelete
  3. Mdogo wangu kila mtu ana nyota yake.

    Na hii ni nyota yake Mwenyezi Mungu aliyomjaalia. Bahati mbaya ni kuwa imejionyesha wakati yeye akiwa amekufa.

    Kapumzike salama Kanumba.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...