Dr Lindah Mhando (pichani) ni mhadhiri wa chuo kikuu cha Binghamton New York ambaye ameandika majarida mbalimbali na vitabu kadhaa, anasema chanzo kikubwa cha migogoro na vita ni pamoja na kosef wa ajira, kutokuwepo na usawa wa kugawana rasilimali na ukandamizaji wa wanawake.

Mhadhiri huyo ambaye hivi sasa yuko katika harakati za kuendelea kuandika vitabu vingine vitatu ametoa kitabu chake kipya hivi karibuni kiitwacho “Birthing Masculinity:Dialogues of Peace and Social Justice” kitabu kilichochapishwa hapa Marekani na Africa World Press.

Kitabu khaki kinagusia mambo mengi , na matukio mbalimbali yaliyopita nay a karibuni ya machfuko katika bara la Afrika na maeneo mengine kama Mashariki ya Kati.

Ili kupata undani wa alivyoanza kuandika vitbu, kilichomhamasisha, mada anazogusia na changamoto zinazomkabili ameketi na mkuu wa Idhaa ya Kiswahi Flora Nducha kyachambua. Wasikilize katika makala hii sehemu ya kwanza. kwa kubofya link hizi

au

au moja kwa moja kwenye habari yenyewe
au

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ukandamizaji wa wanawake siyo chanzo cha vita barani Africa. Watu wanaona it is okay. Hebu wewe Dr. elezea kwa mifanio hayo mambo yanatokea wapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...