Mabondia Maneno Osward (kushoto) na Rashidi Matumla wakioneshana ufundi wa kutupa masumbwi wakati wa mpambano wao wa kugombea ngao ya pasaka iliyotolewa na ukumbi wa Dar LIve. Maneno alishinda kwa pointi
Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Temeke, Afande Thomas Sedoyeka na Mratibu wa burudani katika Ukumbi wa Dar Live Juma Mbizo wakimpatia ngao ya pasaka. Bondia Maneno Osward baada ya kumdunda Rashidi Matumla kwa pointi Dar es salaam jan
Bondia wakike Furaha Nganda kulia akimsukumizia masumbwi mfururuzo bondia Jamuhuri Saidi wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar LIve jijini Dar es salaam jana Nganda alishinda kwa point.
PIcha na www.superdboxingcoach. blogspot.com


safi saaaana oswald kwa kumdunda huyu matumla kila siku ni wao tuu utadhani hakuna mabondia wengine, endeleeni kuwapa kichapo hadi wasambaratike, unataka sura mpya!
ReplyDeletehivi hawa kina OSwald na Matumla wataastaafu lini?
ReplyDeletehili pambano la Furaha vs Jamhuri ni dume vs jike? Naomba jibu.