Mbunge wa jimbo la Ludewa mkoani Njombe Deo Filikunjombe akimkabidhi kombe kepteni wa timu ya Mapogolo Mathayo Ndendia baada ya timu hiyo kufanikiwa kuichapa Milo kwa jumla ya goli 2-1 katika mchezo wa fainali ya kombe la Filikunjombe. Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA
Home
Unlabelled
MAPOGOLO MABINGWA KOMBE LA MBUNGE FILIKUNJOMBE KATA YA MILO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Tuhongiche ankali. At least nimewaona wapangwa wenzangu kwenye globu ya jamii. Walamukha wote kunyumba filipokunjombe
ReplyDeleteVERY NICE FOR YOUR SUPPORT ON SPORTS (DEO FILIKUNJOMBE) UNASAIDIA SAAANA KUKUZA KIPAJI CHA SOKA IN OUR DISTRICT.., I HOPE ONE DAY YOU'LL INVITE THE OLD FOOTBALL CLUB LIKE SIMBA SC. OR YANGA SC. TO PLAY WITH OUR YOUNG PLAYERS FOR ENRICHING THE BETTER FOOTBALL EXPERIENCIES. I LIKE YOUR LEADING SYSTEM OF INTERACTION WITH YOUR RESIDENTS IN VARRIOUS DAILY LIFE ISSUES.
ReplyDeleteMAPOGORO HONGERENI KWA KUCHUKUA KOMBE HILO, ILA MILO MMETUANGUSHA KWA KUFUNGWA MKIWA NYUMBANI!!!!.