Home
Unlabelled
Mh. Juma Kapuya amzungumzia Marehemu Steven Kanumba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mbona hatupewi taarifa za BABA YAKE MZAZI wa Steve? natoa hoja.
ReplyDeleteNILITEGEMEA LEO INGETANGAZWA KUWA NI SIKU YA MAPUMZIKO KWA AJILI YA KUMZIKA HUYU MAREHEMU MAANA HESHIMA ANAYOPEWA HAINA TOFAUTI NA YA KIONGOZI WA SERIKALI.
ReplyDeleteKIJANA ALIKUWA NI 'MTU MKUBWA KIJAMII' NI MUHIMU KUKUBALI UKWELI HUU.
ReplyDeleteLinalosikitisha, ni kuwa licha ya suala la KIFO NA MATOKEO YOTE KIMAISHA KUWA MIPANGO YA MOLA, bado hisia zetu za kibinaadam zinagota katika tuhuma dhidi ya 'mtu' au 'watu kadhaa' kuhusika na matokeo haya.
Kwa vile mara zote baada ya mtu kuhangaika na kutafuta ikapelekea kuwa Umejaaliwa na mafanikio katika MAISHA kinachofuata ni kukwamishwa au kuzimwa kabisaaa !
NI MTAZAMO WANGU TU.
wewe mtoa maoni wa pili, acha zako za wivu, je ? hukuona maziko ya Whitney Huston ? au M Jackson ? mbona hukukomenti lolote kwa hao , leo huyu mtu wa kwenu ,unachonga domo. Zebedayo.
ReplyDelete